Zitto Ameoa?

The Prophet

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
682
94
nataka tu kujua marital status ya mbunge wangu shupavu. Zitto Zuberi Kabwe.

amani kwenyu.

Nabii
 
Sijui kama kutakuwa na mchango kwa Taifa na hili swali lako maana maada ya yeye utaenda kwa Kafulila na wengine .Lakini umekuwa polite nasema yes ana mwenzake na ana mtoto anaitwa Chachage wa kiume .
 
nataka tu kujua marital status ya mbunge wangu shupavu. Zitto Zuberi Kabwe.

amani kwenyu.

Nabii
Lugha uliyotumia ndiyo imekuwa mwokozi wako vinginevyo ungejutia kuuliza swali la libinafsi lisilo na tija katika maendeleo ya taifa.

Sijui kama kutakuwa na mchango kwa Taifa na hili swali lako maana maada ya yeye utaenda kwa Kafulila na wengine .Lakini umekuwa polite nasema yes ana mwenzake na ana mtoto anaitwa Chachage wa kiume .
Huyo kathibitisha madai yangu kuwa lugha imekuokoa na kukujuza ukweli, HAJAOA LAKINI ANNA MTOTO.

M-PM yupo hapa jamvini,ninachojua amezaa na dada mmoja anafundisha pale UDSM

Huyu nae kaona akunyooshee japokuwa anajua ni ngumu Ku PM mtu kwa jambo kama hilo, kwanza atashituka kwa sababu hakujui na pili ni mambo yake binafsi ambayo pengine asingependa watu wayajue.
 
Sijui kama kutakuwa na mchango kwa Taifa na hili swali lako maana maada ya yeye utaenda kwa Kafulila na wengine .Lakini umekuwa polite nasema yes ana mwenzake na ana mtoto anaitwa Chachage wa kiume .

Chachage dah kweli kuna majina
 
Chachage ni jina la Profesa mmoja aliyekuwa maarufu sana pale UDSM na sasa ni marehemu. Inawezekana, kama ni kweli mtoto wake ana jina hilo, Mh. alikuwa anamheshimu kwahiyo kwa kumkumbuka akaamua kumpa mtoto wake jina hilo.
 
Kaka sio muoji huyo... kazaa na dada mmoja msomi very potential na wanapendeza
as a couple but hataki kumuoa huyo dada.... Naamini yuko ki kazi zaidi...
 
Back
Top Bottom