MAMMAMIA JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 3,811 Reaction score 1,607 Jun 19, 2011 #1 Kitu gani kinawekwa mezani, kinakatwa, kinaliwa, kinarambwa/kinalambwa na kinakombwa lakini hakiingizwi mdomoni?
Kitu gani kinawekwa mezani, kinakatwa, kinaliwa, kinarambwa/kinalambwa na kinakombwa lakini hakiingizwi mdomoni?
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,679 Jun 19, 2011 #2 kisu.......
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 68 Jun 19, 2011 #3 Saint Ivuga said: kisu....... Click to expand... Kisu kinakatwa?
Magogwajr JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 221 Reaction score 20 Jun 19, 2011 #4 MAMMAMIA said: Kitu gani kinawekwa mezani, kinakatwa, kinaliwa, kinarambwa/kinalambwa na kinakombwa lakini hakiingizwi mdomoni? Click to expand... hapo kwenye red kuna matatizo..... inawezekanaje kitu kiwe kinaliwa na kukombwa then kisiingizwe mdomoni?
MAMMAMIA said: Kitu gani kinawekwa mezani, kinakatwa, kinaliwa, kinarambwa/kinalambwa na kinakombwa lakini hakiingizwi mdomoni? Click to expand... hapo kwenye red kuna matatizo..... inawezekanaje kitu kiwe kinaliwa na kukombwa then kisiingizwe mdomoni?
MAMMAMIA JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 3,811 Reaction score 1,607 Jun 19, 2011 Thread starter #5 Magogwajr said: hapo kwenye red kuna matatizo..... inawezekanaje kitu kiwe kinaliwa na kukombwa then kisiingizwe mdomoni? Click to expand... Ndio maana ya chemsha bongo. Jaribu tena.
Magogwajr said: hapo kwenye red kuna matatizo..... inawezekanaje kitu kiwe kinaliwa na kukombwa then kisiingizwe mdomoni? Click to expand... Ndio maana ya chemsha bongo. Jaribu tena.
MAMMAMIA JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 3,811 Reaction score 1,607 Jun 19, 2011 Thread starter #7 Lady N said: sahani Click to expand... Hapana Lady N, sahani haikatwi.
MAMMAMIA JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 3,811 Reaction score 1,607 Jun 19, 2011 Thread starter #8 Kitu ambacho hukatwa, hugawanwa, huliwa na kukombwa, hulambwa bila ya kutiwa mdomoni ni KARATA
LINCOLINMTZA JF-Expert Member Joined Mar 15, 2011 Posts 1,639 Reaction score 519 Jun 19, 2011 #9 Nakupatia Mji wa Lupaso.
Roulette JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 5,568 Reaction score 5,388 Jun 19, 2011 #10 Kweli nimechemsha bongo sijapata but you've got a poit... Karata
mchemsho JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 3,230 Reaction score 936 Jun 20, 2011 #11 sichezi kamari..hw should i knw
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 Jun 20, 2011 #12 Wakati kinawekwa mezani kukwata kinakuwa kimeiva au kibichi?
womanizer Senior Member Joined Jun 13, 2011 Posts 106 Reaction score 20 Jun 21, 2011 #13 kitakuwa KIUNO tu