Chaga zege

Deo bony

Member
Mar 27, 2011
74
8
Kuna mchaga alienda kwenye mgahawa kupata msosi wa mchana alipoulizwa aletewe chakula gani? akasema minataka machalari(ndizi) kilipoletwa akaanza kufakamia haraka avikupita hata vijiko vitatu akaanza kulamika kuungua MHUDUMU: vip nikuletee maji MANGI: nipoteze ladha MHUDUMU: meza basi ! MANGI: nimeze niungue MHUDUMU: tema basi MANGI: niteme chakula MHUDUMU: sa mi nikusaidieje MANGI: aisee hi ilikuwa ni teknik ya kukusemesha mrembo MHUDUMU: mangi bwanaa
 
Back
Top Bottom