Ganja na speed

Ganja na speed

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
914
Jamaa alikolewa na ganja maeneo ya Kibaha, akaendesha gari kwa speed kubwa sana, akiwa njiani akawasha redio ikasadifu ni BBC idhaa ya kiswahili ikisema HAPA NI LONDON, basi jamaa akajisifu " looooh!!! nimetoka mbio mpaka nimefika London".
 
Huu mmea unanifurahisha kwa kuwa na majina mengi zaidi ya mimea mingine:bange:
 
:bange::third::der:😛hone::A S 114::second::third::bange:
 
una majina mengi kama ilivyo nahii ya siri ya mwanamke.
 
Back
Top Bottom