Mi nashangaa serikali hii,eti kampeni kamata kamata vijana wala unga!kwani nani asiyekula unga nchi hii?rais anakula unga,mawasiri wanakula unga,wambunge wanakula unga,matajiri kwa masikini wote...
Machine Diagnosis
One day, Pete complained to his friend, "My elbow really hurts. I guess I should see a doctor."
His friend said, "Don't do that. There's a computer at the drug store that can...
A little boy came down for breakfast one morning and asked his grandma, "Where's Mom and dad? " She replied, "they're up in bed " So the little boy started to giggle and ate his breakfast and...
Babu mmoja alikuwa akivuka barabara,ghafla akagongwa na baiskeli akazimia,wasamalia wema wakamweka kando ya barabara,mpita njia akasema "mnunulieni maziwa "Gafla yule babu akasema na bagia za...
On the recollection of so many and great favors and blessings, I now, with a high sense of gratitude, presume to offer up my sincere thanks to the Almighty, the Creator and Preserver. Thank You...
Nikiwa maeneo ya kimara_resort jana usiku nilijikuta nashuhudia vurumai moja matata.Mwanamke mmoja anayesadikika kula na shemeji yake alafu pia kukimbiwa na mumewe na kukimbilia Marekani alizua...
Basi rafiki yangu Juma alikwenda Mbeya,alipofika kule akakutana na swahiba zake akina Mwakipesile,Mwambigija,Mwakalinga na Mwamunyange.Ili kuimarisha mira na urafiki wao akaomba nae aongezewe neno...
I know you are reading my posts but why cant you hear my cries? Belinda you are the tree and I am the bird choosen to stop over your branches....You have seen my downs dear,you have seen my hands...
Kuna jamaa alikuwa bado hakuwahi kusex hadi kufikia kuoa. Wakati arusi ikikaribia, ilibidi amtake ushauri baba yake ajue afanye nini na vipi.
Damu nzito, baba akamshauri mwanawe. "Sio kitu...
Unamega mke wa ndoa wa mdogo wako, kawafumanieni kitandani, then kaondoka bila kuwaulizeni chochote. Hajamuulize mkewe wala wewe.
Je ukikaa chemba huwa unamuwazia nini nduguyo? Je umuue siri...
WanaJF, leo ni siku yangu ya kuzaliwa! Naadhimisha siku hii muhimu kwenye maisha yangu kwa kutafakari mambo mengi. Lakini jambo moja kubwa ni kumcha Mungu kwa kila hatua ya maisha yetu ili tuzidi...
Soseji...
Waskhaji wawili walikuwa na elfu mbili tu na pombe wanaitaka. Mmoja akaichukua na kuingia duka la soseji akaitumia yote wakaanza safari ya bar.
M: Ona sasa umetumia buku...
Nlikua ndani ya daladala, tulipofika kwenye kituo fulani mateja wakazinguana na konda na kuanza kutukana tena matus ya nguoni....mama m1 karibu yangu akaanza kulalamika na kusema jamani sasa...