Hv ili nalo sio tusi?

Hv ili nalo sio tusi?

Tanganyika1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
423
Reaction score
90
Nlikua ndani ya daladala, tulipofika kwenye kituo fulani mateja wakazinguana na konda na kuanza kutukana tena matus ya nguoni....mama m1 karibu yangu akaanza kulalamika na kusema jamani sasa matusi ya nini? Konda kamjibu mama....aah achana nao mama....w¤s€ng€ tu hao........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom