They Are Still in Bed....

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
A little boy came down for breakfast one morning and asked his grandma, "Where's Mom and dad? " She replied, "they're up in bed " So the little boy started to giggle and ate his breakfast and went out to play.

Then he came back in for lunch and asked his grandma "where's Mom and dad?" She replied "they're still up in bed " And the little boy started to giggle and he ate his lunch and went out to play.

Then the little boy came in for dinner and once again he asked his grandma "Where's Mom and dad?" His grandmother replied "they're still up in bed" The little boy started to laugh and his grandmother asked "What gives? Every time I tell you they're still up in bed you start to laugh! What is going on here? "

The little boy replied, "Well last night daddy came into my bedroom and asked me for the Vaseline and I gave him super glue instead."
 
Ngoja ntawapelekea petrol ya kuyeyushia...........watoto wa pombe hawa ndio walivyo.
 
Dah!! Huyo mtoto ana laana. Sasa na wao kuomba msaada wanaona nini?
 
Jamani kwani kuna tatizo gani? Mtoto kuwapa super glue yaani wamejipaka usoni, uso ukaganda, sasa ndio washindwe kutoka?
 
Kwani super glue si iko kwenye tube
na vaseline huwa kwenye kopo au ya maji iko
Kwenye bottle refu tu..
 
teh! Teh! Teh! Utamuomba mama mzazi aje akuchomoe?

waache waone aibu halafu wafe.
hii inanikumbusha kisa changu cha ukweli nilikuwa na mama moja alikuwa naishi na mama yake nikwa wakati mwingine naenda kwake na kulala huko siku ya siku akaamka asubuhi akataka nipige kimoja kabla ya kuondoka mazee sijui siku hiyo mzuka ulitoka wapi utafikiri nilikuwa na pepo mimi mwenyewe nilijishangaa maana hapo usiku nilikuwa nimeshapiga kadhaa .
mazee nilipeleka moto wa asubuhi mama akaanza kulia mara kikawa ikawa na mayowe ya kisambaa mama akaanza kulia tumbo linauma anasema nimemsukuma kizazi akaazna kumwita mama yake mzazi ilibidi nifungue mlango mama mkwe akaingia kuja kumuhudumia mwanae , kwavile ni mara yangu ya kwanza kutokewa na kitu kama hicho niliogopa sana maana niliona kama huyo mwanamke anataka kufa kilichonishangazisha mama mkwe alikuwa anacheka wakati mtoto wake anaugulia maumivu nikamuuliza kulikoni akaniambia hongera kila akiniangalia ananiambia hongera nilikuwa naina aibu sana. baada ya mama mkwe kumuhudumia ikashindikana akaitwa jirani wakachukua gari akapelekwa hospitali daktari akamwambia kizazi kimesogezwa akampa hudumu na dawa tangu wakati huo nimekuwa nikimwonea mama mkwe aibu vibaya
 
ww ni noumer!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom