Swali kwa wanaume rijali tiu, mashoga mchango wenu hauitajiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa wanaume rijali tiu, mashoga mchango wenu hauitajiki

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Jun 20, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,060
  Trophy Points: 280
  Unamega mke wa ndoa wa mdogo wako, kawafumanieni kitandani, then kaondoka bila kuwaulizeni chochote. Hajamuulize mkewe wala wewe.
  Je ukikaa chemba huwa unamuwazia nini nduguyo? Je umuue siri isivuje au unataka ujiue wewe ili kupoteza ukweli wa mambo?
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,317
  Likes Received: 19,470
  Trophy Points: 280
  kwa nini ummege? usiwe na hayo mawazo
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  ukimega then dogo akakufanyoa hivyo....lazima ufe kifo cha huruma (eutanesia death)
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Bujibuji bana.....
   
 5. CPU

  CPU JF Gold Member

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kweli wewe ni Buji-Buji
  Ni vigumu sana kujibu swali ambalo sijawahi hata kuliota kwa ndoto ya mchana.
  Nadhan Ryan Giggs anaweza kukusaidia majibu. Maana kila nikilazimisha kichwa kitoe majibu kinakataa . . . .
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Huyo Dogo alivyoamua kukaa kimya, je anaendelea kummega mkewe au hamegi tena?
  Je mazungumzo mengine yanapanda au amenuna kabisa?
  Hebu nijibu hapo kwanza kisha nitajua pa kuanzia..
   
 7. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #7
  Jun 20, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,212
  Likes Received: 3,777
  Trophy Points: 280
  Nitajua kuwa: 1.Lazima nae ammege.
  mke wangu.
  2. Atanivizia na.
  kunimega!
  Hivyo basi hatu ya haraka nitakayochukua ni kuomba radhi mdogo wangu,na kumwambia hilo ni kosa la kibinada!
   
 8. wilbald

  wilbald JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 1,244
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Kamuulize kaka yake RYAN GIGGS WA WALES.
   
 9. m

  muhanga JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  vunja ukimya mfuate na umuombe radhi, kimya kina mshindo mkuu usije ukadharau mtu anaekaa kimya hujui what next...
   
 10. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Giggs analo jibu kwani kafanya hivyohivyo ulivyosema.
   
 11. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Inategemea na kabila kaka ni mmasa
  i au mgogo ....kuwa specific ,, ukimya si mzuri kaka..au jamaa kamchoka anatafutia pa kutokea ,,,siku mkewe akiondoka kwa hofu anaweza kukupa bonge la big up kwa kumuondolea kero..
   
 12. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Utavuna ulilopanda......
   
 13. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hata mimi nimeshindwa hata kuchangia kwa sababu ni wazo la kipagani/kikafiri kabisa ! kufanya zinaa na mke wa ndugu yako ?!
   
 14. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  unatangaza kutaka kumuoa mke wa mdogo wako kama
  mke wa pili (kama wewe tayari umeoa na kama bado hujaoa
  anakuwa mke wa kwanza) uone kama mdogo wako ataendelea na ukimya
  wake. kama dogo akiendeleza ukimya ujue alikuwa kishamchoka huyo wife
  na anachekelea ulafi wako ulivyomuokoa lol
   
 15. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mhhh!hiyo tamaa ya kupitiliza mke wa mdogo wako????
  nahisi atakuwa mmasai!!!Lol
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  ww ni kakake humphynick eeh? anakulia timing tu,andika urithi!
   
 17. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dah!...mkuu Bujibuji unawaza nini ?any way mimi nitammegea tena mke wake kwa mara ya pili ili niigundue hasira yake ilipo akiamsha wenge tuyamalize kama vp kuliko kimyakimya aisee dah!
   
Loading...