Hold ya pen kidogo!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Kitabu kina kurasa 240.Kila siku Tom anasoma nusu ya kurasa zilizobakia.(SWALI):Tom atamaliza kusoma hiki kitabu baada ya siku ngapi?
 
kwa makadirio atasoma kwa siku 12 kama ifuatavyo
Siku ya 1120
Siku ya 260
Siku ya 330
Siku ya 415
Siku ya 57.5
Siku ya 63.8
Siku ya 71.9
Siku ya 80.9
Siku ya 90.5
Siku ya 100.2
Siku ya 110.1
Siku ya 120.1
Jumla240.0
 
Siku ya 11(0.1 pages),siku ya 12(0. 05 pages)>>>>>>>>?
 
Hebu tudadavulie Jaguar, kwanini hatomaliza kusoma kitabu hicho?
okay mkuu,ni kwamba you will keep summing these page halves but they will never sum up to 240.labda ufanye makadirio!
Hebu tudadavulie Jaguar, kwanini hatomaliza kusoma kitabu hicho?
okay mkuu,ni kwamba you will keep summing these page halves but they will never sum up to 240.labda ufanye makadirio!
 
kwa mtazamo wangu ni kwamba tom atakua amemaliza kusoma pale ambapo huyo anaye bakisha kurasa atamaliza kusoma....coz kwa kadir ya maelezo ni kwamba Tom yeye husoma nusu ya pages zilizobaki = pages zilizo bakishwa na mtu mwingine.
 
Siku ya 11(0.1 pages),siku ya 12(0. 05 pages)>>>>>>>>?
Siku ya 12 - O.5Siku ya 13 - 0.025Siku ya 14 - 0.0125Siku ya 15 - 0.00625Siku ya 16 - 0.003125Siku ya 17 - 0.0015625 Siku ya 18 - 0.0007813 Siku ya 20 - 0.0003906 Siku ya 21 - 0.0001953 Siku ya 22 - 0.0000977 Siku ya 23 - 0.0000488 Siku ya 24 - 0.0000244 Siku ya 25 - 0.0000122 Siku ya 26 - 0.0000061 Siku ya 27 - 0.0000031 Siku ya 28 - 0.0000015Siku ya 29 - 0.0000008Siku ya 30 - 0.0000004 Siku ya 31 - 0.0000002 Siku ya 32 - 0
 
Sawa mkuu,your divisions results will never be reduced down to zero but it will be just tending to zero!(~>0).
 
Mi ngoja hapa niache kulivyo cuz hesabu niliidrop nikiwa darasa la tatu
 
Dah kumbe kuna hesabu duh ndo maana sijaelewa kabisa nn kinaendelea,hesabu dah mpaka kichwa kishaanza kuniuma!
 
Back
Top Bottom