Mtunzi gani wa riwaya za nje anayekuvutia zaidi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtunzi gani wa riwaya za nje anayekuvutia zaidi?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Humphnicky, Jun 23, 2011.

 1. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Mi navutiwa na Sydney Sheldon, vitabu vyake ni noma. Mungu ailaze pema roho yake.
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa ni mwisho.
  [​IMG]
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  H. Rider Haggard
  Ian Fleming
  Irving Wallace
  Frederick Forsyth
  Charles Dickens
  Wilbur Smith
  Agatha Christie
  Danielle Steel
  Stephen King
  Edgar Wallace
  Robert Ludlum
  John Grisham
  Jackie Collins
  J. R. R. Tolkien
  Dan Brown
  Mario Puzo
  Roald Dahl
  C. S. Lewis
   
 4. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Nawakubali sana Sidney Sheldon na John GRISHAM.
   
 5. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  James Hadley Chase
   
 6. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Mimi navutiwa na Henry R. Haggard, Sydney Sheldon, James Hadley Chase na Robert Ludlum
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  John Grisham Agatha Christie na Yule mtunzi wa Series za Perry Mason (nimesahau jina lake)
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,185
  Trophy Points: 280
  Memories of midnight, Master of the game na nyingine kibao za Sheldon zinakuna hadi nasahau hamu ya kufanya matusi
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Umenisemea tayari huyu jamaa namzimia sana aisee
   
 10. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Chase hadithi zake ni tamu na hazina mwisho mzuri.
   
 11. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133

  Kumbe amekufa!!!!???..... sikujua. Hata mimi nilikuwa navutiwa nae sana.
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,018
  Trophy Points: 280
  Robert Ludlum
  John Grisham
  Sydney Sheldon
  James Hadley Chase
   
 13. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Mongo Beti.......''POOR CHRIST OF BOMBA''
   
 14. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #14
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mtunzi wake anaitwa Erle Stanley Gardner.
   
 15. F

  Frank lwakatare Member

  #15
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namkubali a person known james robman ambaye juzi alifiwa na mke wake!ni mzuri na mwenye kipaji.
   
 16. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  sisi watanzania wengi wsanii hatusomi hivi vitabu zaidi ya biograpphy na summary. lafu tunazuga kwa kujua tittle. kibao. Mimi mpaka leo nanunua novel za J hadley chase japo ni za zamani na nazisoma mwazo mpaka mwisho.

  kuna nyingine niliwai kununua nikaishia katikati
  .
   
 17. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #17
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Unapitwa na mengi sana mkuu, hanza sasa na utafurahia maisha.
   
 18. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #18
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hizo nilizoweka red pamoja na:
  Shaaban Robart
  Prof. Said Muhammed
  Adam Shafi
  Abdullatif Abdalla
  MuhammedmSaid Abdalla (Bwana Msa)
  Gabriel Garzia Marquez
  Isabel Allende
  Julio Cortazar
  W. Shakespeare
  James Hardly Chase
  Nick Carter
  Michel Ende
  Na watunzi wote wa hadithi za watoto, ninawapenda na wameweka "alama" katika elimu yangu.
   
 19. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #19
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Ni mara chache kuianza kusoma novel ya Sheldon ukaacha kuimaliza. Jamaa alikuwa mtunzi wa hali ya juu, na story zake ziko very researched. If tomorrow comes, Master of Game, Sand of Time, Doomsday Conspiracy na Tell me Your Dreams were the master piece. Zamani ilikuwa taabu sana kupata novel hizo tena zilikuwa ghali sana ( in terms of US $) hasa kwenye maduka ya Novel Idea pale Sleepway na Steers Samora. Ukibahatika ungeweza kuzipata kwa wauzaji wa vitabu "Used" pale Sky Way na Motel Agip. Lakini siku hizi zipo nyingi sana pale Mlimani City Scolastica Bookshop. Vile vile zinapatikana kwenye duka moja la vitabu pale DDC Mlimani nyuma ya kituo cha dala dala za kwenda UDSM.

  Kwa jinsi ninavyozipenda novel za marehemu Sheldon nimetengeneza collection ya novel zake zote, mwanangu aweze kuzisoma. Tabia ya kusoma vitabu mara nyingi haianzii ukubwani bali utotoni. Vijana wengi siku hizi wako interested in movies kuliko kusoma vitabu. Mtu anaona uvivu kusoma kitabu cha page 400 au 500 lakini kwa kweli wanakosa mengi. Ambao hawajasoma vitabu hivo wajaribu kusoma then watupatie feedback.
   
 20. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #20
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Abdullatif Abdalla sauti ya dhiki
  Mwalimu Julius Nyerere anastahili pongezi kwa tafsiri ya julius ceaser na merchant of venice.Speech ya mark Antony in Kiswahili inagusa kweli/nimekuja kumzika kaizari wala si kumtukuza/i've come to bury ceaser not to praise him.
   
Loading...