Baba changanyaaaaa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba changanyaaaaa!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MAMMAMIA, Jun 22, 2011.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa alikuwa bado hakuwahi kusex hadi kufikia kuoa. Wakati arusi ikikaribia, ilibidi amtake ushauri baba yake ajue afanye nini na vipi.
  Damu nzito, baba akamshauri mwanawe. "Sio kitu kikuuuubwa. Wewe mkifika 6x6 tafuta ile kitu ilipo, chomeka mche. Mimi nitakuwepo nje maeneo na ngoma ndogo ambayo nitakuwa ninaipiga taratibu wewe utacheza kufuatisha midundo yake".

  Siku ilipofika, mtoto akafata ushauri, hakukawia kugundua ni wapi, akachomeka mche na kuanza kufuatisha midundo ya ngoma. Lakini shughuli ilipokolea midundo ya babake ikawa inaenda pole pole sana kulinganisha na kasi aliyokwisha kamata. Ikabidi amwambie baba yake BABA CHANGANYAAAAA!!!
   
 2. c

  cesc Senior Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mmhh..kazi kwelikweli...ngoma inogile
   
 3. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135

  hahhahahahahahhahhahahhaahhhaha baba komaaaaaaaaaaa!
   
 4. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  dingi alikuwa anajiunza kupiga ngoma...
   
 5. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  daaaah dogo kishakuwa mahiri...!!!!!!
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,996
  Trophy Points: 280
  jamani hivi ile shughuli inahitaji mafunzo? Nani aliye wafunza kuku?
   
 7. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  sasa dingi si ampe satifiket yake?
   
 8. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo kama dingi akiendelea kupiga ngoma hadi jioni itakuwaje?
  Si ndo mwanzo wa ku-collapse, halafu lawama kwa dingi?
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kama ndio baba ningekuwa napiga ngoma uku nalìa, badae namwambia dogo zamu yako na wewe upige ngoma na mimi nijivue gamba
   
 10. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kuna hata msemo "mwana wa kuku havunzwi kuchakura", vivyo hivyo mtoto mchanga havunzwi kutia dole mdomoni. Jokes mbali lakini ile shughuli inakuja natural.
   
 11. L

  Leo2juu New Member

  #11
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haahahahahaah hii nayo kali kweli taulo sio shuka
   
 12. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  humu si sehem ya utani!
  utafundishwa kula??
  ile kitu nachuro mzeee.hata usipoangalia kitu inaingia yenyewe.
   
 13. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  baba changinyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Mh kunamwingine alioa miaka ikapita hapati mtoto. Baba akauliza kuliko ama humlali mkeo? Mtoto akasema mi namlalia kila siku lakini sioni matokeo. Baba akagundua kunatatizo hapa, usiku akapanda darini na kopo lake lenye maji ya moto. Anamwagia kidogo kiunoni jamaa anabonyea ndani kisha anarudi juu. Dingi alipo fanya mara mbili jamaa akanogewa akaanza kuchanganya mwenyewe. Dingi akaropoka, ''kumbe unayaweza!''
   
 14. I

  Igangilonga Senior Member

  #14
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 121
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  teh teh teh kwi kwi kwiii ha ha ha haaa...........
   
 15. M

  MZOMOZI Member

  #15
  Jun 26, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haaaaaahaaa ama baba changanyaaaaaa mpaka------------kielewekeeeee
   
 16. M

  MZOMOZI Member

  #16
  Jun 26, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haaaaaahaaa ama baba changanyaaaaaa mpaka------------kielewekeeeee
   
 17. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Duh mzazi we mkare!!!
   
Loading...