Kasuku huyu nae!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kasuku huyu nae!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by fundiaminy, Jun 25, 2011.

 1. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mfugaji kasuku alimrudisha kasuku kwa muuzaji ampe mwengine, "huyu ana matusi sana!" muuzaji akampa mwengine,na kumwambia huyu kasuku ni mstaarabu,"akiinua mguu wa kulia huongea kizungu, akiinua wa kushoto huongea kihindi". Jamaa akauliza "akiinua miguu yote jee?" Kasuku akajibu 'KU*#!MAKO SI NITAANGUKA!!
   
 2. serio

  serio JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,600
  Likes Received: 750
  Trophy Points: 280
  teheeeheeeeeeeee, kasuku nomaa
   
 3. s

  siwalaze Senior Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inabidi awaache kasuku wote atafute mfugo mwingine!!maana kama wa pili ndo huyo,sipati picha wa kwanza alikuwaje!!!
   
 4. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Akiinua miguu yote miwili hataongea kabisa kwa sababu atasimamia mdomo.
   
 5. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  halikuwa fumbo wewe!!!!!
   
 6. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,535
  Likes Received: 1,435
  Trophy Points: 280
  kasuku anamatusi kama makinda ya ndege supika
   
 7. K

  Kibani Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Akinyanyua miguu yote atajivua gamba teteh teteh teteh
   
 8. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 568
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Umenifanya nifurahi kidogo. Inakaribia miezi miwili sijaingia kwa kutulia humu ila now nimerudi rasmi.
   
 9. M

  MZOMOZI Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  akiinua miguu yote ataruka nahuo ndoo mwisho wa kuoongea.
   
 10. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Nimecheka aiseee kasuku nouma
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,048
  Likes Received: 3,802
  Trophy Points: 280
  Sasa huyo ndio mstaarabu, wa kwanza sijui atakuwaje!
   
Loading...