Mmasai bwana!

Mmasai bwana!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Mi nashangaa serikali hii,eti kampeni kamata kamata vijana wala unga!kwani nani asiyekula unga nchi hii?rais anakula unga,mawasiri wanakula unga,wambunge wanakula unga,matajiri kwa masikini wote wanakula unga wa MAHINDI!>>>>>>>>>Huyu naye ananishauri niweke hela benki,mi jana napeleka hela benki,nampa teller ile nampa kisogo tu eti inampa mtu mwingine pesa yangu ile ile,wizi mtupu,nikadai pesa yangu pale pale na naahidi sitaweka tena pesa benki!
 
Back
Top Bottom