Cv of the year

kazi kwelikweli,kumbe akina what globally warming is wengi?
 
hahaaaahahaaaahaha... hahahahaa...yan nimecheka mpaka waliokaa jirani yangu wanashangaa
 
hahahaha hii kweli kali. Ila kiukweli kama mimi ndio ningepewa nafasi ya kumpa au kutompa hiyo kazi ya ulinzi... NINGEMPA!. Jamaa kafunguka si kidogo.
 
Et "i tell you i am that job"
af tena "english is not our motherland"
Lakini jamani knaeleweka kila alichotaka kusema.
kama hana kasoro nyingine kiutendaji wa hyo kazi
lugha sio ishu.anaeleweka ananchotaka kusema.
 
Back
Top Bottom