Watu wa Mbeya bwana! na majina yao..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wa Mbeya bwana! na majina yao.....

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by lidoda, Jun 26, 2011.

 1. lidoda

  lidoda JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 631
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 80

  Basi rafiki yangu Juma alikwenda Mbeya,alipofika kule akakutana na swahiba zake akina Mwakipesile,Mwambigija,Mwakalinga na Mwamunyange.Ili kuimarisha mira na urafiki wao akaomba nae aongezewe neno Mwa kabla ya jina lake yaani Juma
  hivyo akaitwa Mwajuma.

  nae akawa M-mbeya.

   
 2. M

  MZOMOZI Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii kali zaidi.sasa jinsia yake?
   
 3. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Aiseee! wakikukamata hawa jamaa sijui utawaeleza nini
   
 4. M

  Mwambopo Member

  #4
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ooya unajiamini nini wa mbeya watakufind
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Na wewe ni wa huko?
   
Loading...