Cheka unenepe

Cheka unenepe

Lady N

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2009
Posts
1,914
Reaction score
134
Soseji...

Waskhaji wawili walikuwa na elfu mbili tu na pombe wanaitaka. Mmoja akaichukua na kuingia duka la soseji akaitumia yote wakaanza safari ya bar.

M: Ona sasa umetumia buku mbili yote hata soda hatupati
N: Tulia kijana nna plan kichwani we pata bia tu. Wakaendelea tu pata bia zao.

Muda ukafika jamaa akaitoa soseji na kuiweka ilipo zipu ya suruali na kumuambia ,wenzake ajifanye anai... Mhudumu alipowaona akawatimua.
Wakafanya hivyo kwa bar takribani saba huku wakianza kulewa.

M: Aisee mimi nimechoka sasa, mdomo na magoti pia.
N: Unafikiri mimi je... Nimechoka pia ile soseji tumeipoteza tangu bar ya tatu.
 
Kwa hiyo bar ya nne na kuendelea alikuwa ananyonya dudu la ukweli hahahahaa
 
Duh njaa/kiu nyingine ni noma!
 
kwi kwi kwiiii duuuh jamaa hakujua kuwa kuanzia bar ya 4 alikuwa ananyonya "da origino thing" teh teh teh
 
Keroro ni noma aiseee!! Kumbe jamaa amepombeka kiukweli,hata hajali kama anafyonza dick ya fellow....!
 
Unimenichana mbavu ucku huu tehe tehe dah jamaa huenda alitapika bia alizokunywa!! Gambe nouumer
 
funda moja tu la ziada............kwa hisani ya watu wa marekani.
 
Back
Top Bottom