Big complain tanesco

Big complain tanesco

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
1,222
Reaction score
786
Tanesco mlitakiwa kukata umeme tangu saa 12 jioni hapa arusha na hamjakata. Nimewapigia kuwakumbusha lakini mpaka sasa hivi hawajachukua action
 
Tanesco mlitakiwa kukata umeme tangu saa 12 jioni hapa arusha na hamjakata. Nimewapigia kuwakumbusha lakini mpaka sasa hivi hawajachukua action

Siku chache zilizopita walikata kupita kiasi kukawa na manung'uniko mengi mno, hivyo wameamua kuwaachia kidogo ili nanyi mchekelee kuwa na umeme hadi saa hizi.
 
Back
Top Bottom