Wanabodi,
Naitaji msaada wenu jinsi ya kutengeneza Mbege nzuri..
Yoyote mwenye kujua naomba anielekeze jinsi maandalizi yake na vifaa gani vinavyotakiwa.
Nipeni maujanja ya kutengeneza...
kiukweli mimi kama msichana nakutana na tongozo nyingi sana,
ila hizi za jf daaaah nazikubali
kweli hili ni jukwaa la great thinkers.
watu wanajua kupanga mistari na vina bwana
tongozo la page 3...
Your car is Japanese
Your beer is German
Your wine is Spanish
Your Democracy is Greek
Your Coffee is Columbian
Your tea is Chinese
Your watch is Swiss
Your fashion is French
Your shirt is...
Habari,
Mi mwenzenu mara nyingi huwa napost vitu hapa JF nikiwa kazini. Mara nyingine unakuta naandika na e-mail za ofisi pembeni nime minimize hii screen.
Sasa inatokea sana najisahau nikiwa...
1. No thanks, Im married.
2. Nope, no more booze for me!
3. Sorry, but youre not really my type.
4. Steers? No thanks, Im not hungry.
5. Good evening, Afande. Isnt it lovely out tonight?
6...
Jamani avatar mpya ya Kongosho mmeiona? mmmmhhhhh ...................
Tarifa za kiintelijensia zinasema hii picha ni picha halisi ya Kongosho 'in action' (imepigwa x mass eve akiwa monte...
Habari kwa ufupi, Mama mmoja azaa matofali kula kula pemba kitini. Kuku nchini waitisha mgomo wa kutaga kuwakomesha wauza chipsi. Na michezo kila mashindano ya kutembea muda mrefu machinga ndo...
How I learned to mind my own business ..
I was walking past the mental hospital the other day.
All the patients were shouting, 13 .13 ..13.
The fence was too high to see over, but I saw a...
Nimesoma juu ya utafiti huu ukanichekesha. Watafiti sasa wanasema kwamba kwa wastani mwanamme hutumia dakika 43 kila siku akibung'alia wanawake tofauti tofauti wanaokaribia 10. Hii ni sawa na...
Would you be HAPPY, PISSED OFF or FREAKED OUT if your man or your lady was to give you a surprise visit?
Yani mko kwenye simu anakwambia anavyokumiss ila tu umbali/shughuli ndio zinamzuia kuwa...
Inaonekana wapo wengi hapa, hebu tujitaje / tuwataje :biggrin:
Mi naanza na "Gaijin", mkuu vipi box la Japan linalipa?:A S wink:
(username imekutoa mkuu)
Hata anayekwenda Hai, Same, Mwanga, Siha, Rombo...bado atakwambia anaenda moshi. ina maana jina lingine la mkoa wa kilimanjaro ni moshi? hapana. Halafu mbona kuna umbali mkubwa kati ya moshi na...
Jamani nina Swali langu linaniumiza kichwa nimeulizwa Swali mpaka sas sijapata jibu kutoka akilini mwangu kuna watu wameniuliza swali lenyewe ni hli (Je Anayefaa kuitwa neno Mzazi ni baba Au...
Serikali imeamua kufuta wizara ya afya na kufuta kabisa ajira ya madaktari na wauguzi ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku maduka ya dawa za binadamu na kuwataka watanzania wasiugue tena, serikali...
Nenda katika msitu wenye nyani wengi.Msitu huo uwe na akina mama wanaokata kuni,kufunga mizigo ya kuni na kuibeba kichwani.Daima nyani huwaangalia kwa makini sana hawa akina mama wakidhani kwamba...
je ushakutana na kichekesho ambacho hakichekeshi halafu unaona watu wanacheka?
au ushatoa kichekesho ukajua watu watacheka alafu wasicheke?
Utajisikiaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.