Happy birthday Mpoleee, Firefox, Top Thinker and et al

Happy birthday Mpoleee, Firefox, Top Thinker and et al

Wengi hao.

Hongera zao kama ni birthday zao kweli.
 
Hongera kwa wote!

Tunawaombea Mungu awape maisha marefu!
 
HBD wote, ila wazee wengi humu duh!!
 
Hongereni ..

mpole kumbe una 20 years only ..

ndio maana unadhani hupendwi..

Bday wapi?????
 
Kumbe wanawafuata wale wanjanja!!
Hata kama hawafanani
Sasa nimeelewa

Umeshaandaa rates za kuchaji
kulingana na umetumiwa kwa topik gani?

Hehehehe walaa. . .wengine hua wanafuata wale wajanja.
 
Happy birthday wote.mimi niko shamba kwa muda nitawaletea zawadi nikirejea
 
Kumbe wanawafuata wale wanjanja!!
Hata kama hawafanani
Sasa nimeelewa

Umeshaandaa rates za kuchaji
kulingana na umetumiwa kwa topik gani?


Hehehehe habari ndio hiyo. . .siunajua bendera haina ujanja dhidi ya upepo bana.

Hehehe topic ya Bad Girls. . .au?
 
hongereni lakini wengine sijawahi waona mmu wala chit chat. ova
 
nashukuru wote nimetimiza 39'nilikuwa nakunywa sana sasa hivi nimesimama tangu mwezi uliopita'kumbe laga inazeesha'sasa kijanaa mdogoooo!
 
Back
Top Bottom