umepima mwili?

Golden Mpoleeee

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
572
206
usmwage povu, ww jibu umepima? Na ulisubiri majib yako? Ndio nataka kujua kama umepima uzito wako karibun. mm nimepima nina kilo 47.


GM
 
nimepima, nafanya mazoezi+ diet bado sijafanyikiwa kupunguza hizi kilo, nahitaji kupunguza kilo 16
 
Back
Top Bottom