Wazungu bwana wanatuchanganya....

MAGATA

Member
Jan 28, 2012
34
6
Mtu akienda haja ndogo eti wanasema kaenda'short call',akienda haja kubwa wanasema 'long call' kwa hiyo kujamba tuseme ni MISSED CALL?!
 
Mkuu mimi nafikiri zipangiliwe hivi; kukojoa-short call, kujamba-midium call na kunya iwe sasa long call. Hiyo ya katikati isiwe missed call mbona nayo inatoa harufu kwa maana tendo kamili limekamilika.
 
Kwa hiyo kualisha reverse call
Kina dada nao kila mwezi inakuwa ki-moon call au conference call.
 
Mkuu mimi nafikiri zipangiliwe hivi; kukojoa-short call, kujamba-midium call na kunya iwe sasa long call. Hiyo ya katikati isiwe missed call mbona nayo inatoa harufu kwa maana tendo kamili limekamilika.

Naam pendekezo lako limekaa sawa kabisa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom