Mke wa mtu huyu nimfanyeje?

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Jamani nimependana sana na mke wa mtu na tayari tumepeana promice na huyu mama kwakweli ananipenda sana the same to me, wanajf vipi hivi kweli nitembee naye au nimwache na kasema anatamani sn apate penzi langu.
 
Utapendaje mke wa mtu
2. Huwezi jua kama ni mzima kweli kwa afya

Tafuta demu wa kwako ili baadaye awe mke wako
 
Jamani nimependana sana na mke wa mtu na tayari tumepeana promice na huyu mama kwakweli ananipenda sana the same to me, wanajf vipi hivi kweli nitembee naye au nimwache na kasema anatamani sn apate penzi langu.

Nahisi harufu ya kifo
 
Kategwa huyo...!

Achana naye...

Utanasa humo,usitoke hadi atakapokuja mwenye mke awanasue!

Na kama unavyojua,dili siku hizi ni kuwachukua waandishi wa magazeti pendwa,wafotoe picha mbili-tatu kwanza,kabla ya zoezi la kuwanasua kuanza..
 
Jamani nimependana sana na mke wa mtu na tayari tumepeana promice na huyu mama kwakweli ananipenda sana the same to me, wanajf vipi hivi kweli nitembee naye au nimwache na kasema anatamani sn apate penzi langu.

Mimi jibu zuri sana nnalo la kukupa, lakini kabla sijakupa nikuulize hivi :
Ingekua ndiyo mke wako ndiyo amempa mtu promis na sasa jamaa kashusha thread Jf membars wampe mawazo kwamba akamtafune au vinginevyo ungejisikiaje ?
Ukinijibu hili ndiyo nikwambie nilichopanga kukwambia.
 
kuna mwenzako humu
yule mr temeke nadhani
tumeshamchangia rambi rambi
na sanda alinunua
sasa sijui atakuwa ameshazikwa alive

atakushauri vizuri zaidi huyo
 
E bwana matokeo ya 4m 4 bado tu? Maana yakitoka tutaepuka upupu maana watakua busy na mambo ya shule,ndo tatizo la kua idle
 
Wanakuonea wivu hawa! Huyo mama mchangamkie, ili ukiwa nae anakusaidia na ku-solve papers. All the best kiddo boy!
 
Jamani nimependana sana na mke wa mtu na tayari tumepeana promice na huyu mama kwakweli ananipenda sana the same to me, wanajf vipi hivi kweli nitembee naye au nimwache na kasema anatamani sn apate penzi langu.

tunashukuru kwa hii pumba.
Cha kufanya, wewe tembea nae, tena bila uoga wowote na wala usisite.
Ila fahamu kuwa huyo mama namjua, na kwa rekodi aliyonayo mumewe dhidi ya wagoni wake, akikudaka lazima akule kifuko cha mbolea.
Upo hapo ulipo?
 
Huku Chuga ukipenda au kutamani mke wa mtu penda pia kuingiliwa niaje niaje, bisibisi visu na mapanga..
 
nazani wewe sio mzima utapendaje mke wamtu unajua siku moja wataku cameron mpaka usahau chupi
 
Jamani sio kwamba hapa kuna mtego, huyu mama kweli kanipenda na jamaa hajui kitu, ni vizuri kunipa ushauri kuliko kunitisha jamani kitu cha ukweli kama msomali vile. Jamaa huwa akitoka anakaa mpaka wiki mbili hayupo vipi hapa si ninaweza kumaliza kabisa?
 
Back
Top Bottom