JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ebwana daaaaah!!!!! CHEPE alikuwa anamlalamikia rafiki yake kuwa Kiganja chake kinamuuma sana, inabidi akamuone daktari.... Rafiki yake akamjibu... "Haina haja ya daktari.. Kuna computer...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni rahisi kweli watu kuwa nyuma ya computer na kumuattack /bash a.k.a kumponda mtu mwingine kwa muonekano wake hata kama mpondaji hamjui mhusika kwa sura kwasababu tu yeye haonekani. Yani...
8 Reactions
85 Replies
6K Views
Ushawahi kuwa mmbea? Ulishasutwa? Mi niliwahi zamani kidogo wakati nikiwa darasa la nne nadhani, na nilivunja urafiki na my 'then' best friend kwa huo umbea na hapo hapo nikakoma. Kulikua na...
1 Reactions
104 Replies
8K Views
mwisho wa mwezi ndo huu siku ndo zinazidi kwenda maspid,je utapopata cha mwisho wa mwezi chako utakifanyia nini
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimeleta uzi huu hapa ili nipate majibu ya haraka, laazizi wangu hapa ameninua kalala mzungu wa nne kisa eti ameniona ninachat kupitia JF
0 Reactions
25 Replies
2K Views
.......Wana JF nadhani mpo salama, leo nimeona si vibaya kuongelea mavazi haswa yanayoendana na umbo lako. Kuna hii tabia haswa kwa wanawake wenzangu unajua kabisa tumbo lako limelegea na wewe...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
interview 2015 Kusinzia bungeni ni dili kuliko kumtibu mgonjwa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
P - Unit & Sauti Sol - Gentleman - YouTube
1 Reactions
22 Replies
2K Views
0 Reactions
4 Replies
962 Views
.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
mume anaingia ndani kutoka kazini na kusema."mke wangu nina matatizo makubwa" "sema tuna matatizo mume wangu sisi tu mwili mmoja" mke anapoza "ok! tuna matatizo mke wangu, tumempa mimba secretary...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Dah,hii kali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Valentine ndio hiyoooo inakaribia lakini mpaka sasa sijajua nitatoka na nani. Mpenzi wangu wangu ambaye nilitegemea ndio nitatoka naye tumeshaachana kwa sababu yeye alinitenda. Sio siri wana JF...
0 Reactions
65 Replies
5K Views
Kwenye nyumba nyingi za kupanga Uswahilini chooni kunakuwa na Kopo la kutawazia, na mara nyingi hutumbukizwa kwenye ndoo ya maji iliyopo chooni. Lakini mbali ya shida ya kulenga shimo la choo au...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Halafu unakuta limewekwa maeneo ya Moroco pale karibia na mataa lilipo lile tangazo la Airtel..
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamaa wawili mafariki sana walikuwa na tabia ya kuchangia wanawake, mmoja akishampata anamtaarifu mwezie yule pale tayari na mwezie anatia jitihada mpaka anampata na haya ndio yakawa maisha yao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Haja ndogo = short call haja kubwa = long call kujamba = missed call
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekucheki tu tangu jioni ile, sipendi ugomvi wa pili mwaka huu... Usitafute nikakutangaza adui yangu namba 4 baada ya ujinga, umasikini na maradhi. Chochechonde ndugu, nina uzoefu wa kugombana...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Ninamzimia invisible kwasababu zifuatazo:- 1.., 2.., 3..., N.K
0 Reactions
60 Replies
4K Views
Back
Top Bottom