Sikubali jamiiforum ifungwe

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
698
474
Jamani hapana hili wazo la kufungwa kwa mtandao wetu, unaotusaidia kifikra ,kimawazo. Sikubaliani nalo na hoja iliyotolea jana bungeni, kuwa mtandao wetu wa kijamii, unapotosha jamii kwa kutoa habari za uongo , mimi naona wakafunge facebook maana huko ndiyo kuna watoto wanaopotoshana , kwahabari za uongo na siyo jamiiforum
 
tupeaneni kontakt kabisa, naona sheitwani anaitafua damu ya mtandao huu.

I will miss you in advance
 
tupeaneni kontakt kabisa, naona sheitwani anaitafua damu ya mtandao huu.

I will miss you in advance

so do I.
Kama vipi ni-inbox akaunti yako ya FB, twita, Google, Linkedin, Skype, Mig33 miksa namba ya simu kabla TCRA hawajaloga.
Loh!
 
aaah wapi....wao wakijua hivi sisi tunajua vile....
 
aaah wapi....wao wakijua hivi sisi tunajua vile....
Wakiufunga,mimi nitafilisika kimawazo kabisa! Tumwombe Mungu akatuokoe na huyu mwovu SHETWANI anayetaka kuiangamiza JF yetu, Amen.
 
Wao wanataka wasifiwe tu hata kama wamezidi kubolonga, na wakiifunga jf basi wajiandae kufunga mitandao yote ya kijamii! Maana wasijidanganyekuwa tutakosa pa kusemea!! Poor them all who promoted that idea, tunawakaribisha kwanza kwa majina yao halisi ili tuwape mwongozo zaidi wawe wanathink positively!!
 
tupeaneni kontakt kabisa, naona sheitwani anaitafua damu ya mtandao huu.

I will miss you in advance
Mi hua nasafiri sana kwahiyo ngoja nikupe namba zangu zote. . .

Nikiwa bongo natumia 076 3820 '112'
Nikienda kupumzika marekani 076 3820 '911'
Nikiwa ulaya Uirengeza 076 3820 '999'
Isiraeli ndani ya Mashariki ya kati 076 3820 '101'
Na Asia kwa waJapani 076 3820 '119'

Usibeep tafadhali!!
 
hiyo ya kati, mbona kapokea Mwema?

Unahatari wee mtoto

Mi hua nasafiri sana kwahiyo ngoja nikupe namba zangu zote. . .

Nikiwa bongo natumia 076 3820 '112'
Nikienda kupumzika marekani 076 3820 '911'
Nikiwa ulaya Uirengeza 076 3820 '999'
Isiraeli ndani ya Mashariki ya kati 076 3820 '101'
Na Asia kwa waJapani 076 3820 '119'

Usibeep tafadhali!!
 
namba yangu ni 0754 000 ***
hizi zilizobaki magazijuto

Muamala umekamilika, TXE345Y imethibitishwa, umepokea Tsh. (MAGAZIJUTO), kutoka kwa Mphamvu. Salio lako jipya ni (utajaza mwenyewe)...
 
Mi hua nasafiri sana kwahiyo ngoja nikupe namba zangu zote. . .

Nikiwa bongo natumia 076 3820 '112'
Nikienda kupumzika marekani 076 3820 '911'
Nikiwa ulaya Uirengeza 076 3820 '999'
Isiraeli ndani ya Mashariki ya kati 076 3820 '101'
Na Asia kwa waJapani 076 3820 '119'

Usibeep tafadhali!!

lizzy wangu wewe mbona code za nchi acendani na namba ulzotaja icpokuwa bongo
 
eti wafunge Jamii forum..
waambie wajaribu bahati yao..

wanauwezo wakupiga porojo zisizo na maana..
lakini ikija kwenye action ni ZERO.. wanaongelea JF
badala ya kuangalia maendeleo ya nchi.. aibu tupu..
inawauma aee. na bado....
 
Wanaokubalia na hoja ya kuwa eti jamii forum wanapotosha jamiii watakuwa wameshanunuliwa na hao vigogo 10, wanaohusika na hilo sakata la madawa ya kulevya.......... Wanataka wafunge kabla ya watanzania hatujayafahamu majina yao......... Yaani hawa wansiasa ni watu wabaya sana wanpenda kuzusha mambo ambayo hawayajui ..........kama ile sakata ya juzi juzi kule muleba ya yule kijana aliyetengeneza boat........ Mwanzo walisema ..... Hakuna hicho kiwanda....mara tukaona boat ....... Na magazeti yakaandika wamekabidhiwa boat.....sijui ilitokea mwezi ile!........mara oh......injini iliyowekwa used........wakati sumatra wanathibitisha ni mpya.......sasa tumuamini nani? Sasa hivi hi la nzowa...... Jamiii forum inapotosha jamii......yani hii nchiiiiiiiii ni kizungumkuti jamani.
 
Back
Top Bottom