Awali ya yote nianze kwa neno :
Zamani enzi hizo nilipokua nikikaa kwenye mazungumzo na wazee, hasa wenye rika la Babu au Bibi zangu nakumbuka walikua wakisema, HAKUNA MJI USIOKUA NA WAZEE ! kwa...
afu unataka mchango mwez january au feb mwanzon, unataka unieleweje? kodi sijalipa ada za watoto na wadogo zet, kod za viwanja, nk nk sogeza sherehe yako march au april ntakupa ushirikiano murua
Hawa wabunge wa Baraza la wawakilishi kila kukicha wako bize kutuonyesha wao hawataki mambo ya kuharibu mila na desturi zao za kizanzibari
haya imekuwaje wameamua kutangaza pombe?
Tazama hizi...
nataka kufanya biashara ya transportation.......kipanya/daladala....sijajua ninunue gari gani jamani?mie am not into cars...nimeingia ebay...minibuses...ninazoziona ni ford,ldv sioni toyota hiace...
Kuanzia leo nimeona kuwa ile link ya 'New Posts' haipo tena. Imeniwia shida sana kusoma posts humu jamvini kwa vile sijui nianzie wapi. Naomba kama inawezekana link hiyo irudishwe. Natanguliza...
haya maneno nimekuwa nikikutana nayo hapa jamvini ila yamekuwa yakinipa tabu kupata maana ii think wana jamvi mnisaidie
maana halisi ili niweze kwenda sawa na nyie...
- nasikia huko nyuma maji...
1. Aking'arisha viatu wakati anaenda kupiga passport size( picha),
2. Kakaa kiti cha mbele... karibu na dereva halafu anamwambia konda shusha,
3. mtu akimwamsha mgonjwa ili ampe dawa ya...
nimekua nikifatilia comments nyingi za watu facebook na hata huku JF..na hua nakutana na haya maandishi 'lol' kwa watu wengi..je haya maandishi yana hulka ya mwandishi ni...
A man was driving down the highway with a car full of penguins. Penguins sticking out the windows, penguins coming out the sunroof, penguin everywhere. A cop pulled him over and told him if he...
Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua kwamba zile Koo ambazo wamezaliwa wanaume wengi au wanaume watupu zina ushirikiano kidogo sana miongoni mwao kulinganisha na zile Koo zenye wanawake...
hizi sehemu mbili nazikubali sana kwa mishemishe za raia wake!ningependa kujua kati ya kino na sinza wapi kwa wajanja?na sababu za kuikubali sehemu husika!
A man goes to the famous Lucas Carton restaurant in Paris with his girlfriend and orders the 1928 Mouton. The waiter returns with a bottle full of wine, pours a small amount in the glass for...
huwa najiuliza sasa kanumba anacheka nn, au kuna nn cha kumcheksha namna ile katika lile tangazo la startime?
kiujumla tangazo linaboa,..nimeshazoea liktokea tu, nahama channel, au nafuata maji ya...
Nimeona nilete hii hoja huku kwenye wengi badala ya kuipost kwenye jukwaa la dini ili meseji ifike kwa wahusika kirahisi. Ni hivi, mbona mada za dini kule kwenye jukwaa husika hazina wachangaiaji...
Habari za leo kwenye jamvi
Nashindwa kuelewa wimbo wetu wa taifa huanza kwa MUNGU IBARIKI AFRIKA THEN MWISHO NDO HUJA KUITAJA TANZANIA, ninachojaribu kujiuliza hivi nchi nyingine za kiafrica...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.