Burian mrs xxxx*(ba frm uk) khe!!!

Burian mrs xxxx*(ba frm uk) khe!!!

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,244
Hii ni style mpya nawapa ya matangazo ya kifo incase ukiondokewa na ndugu yako kama ameishia la saba unaandika burian mr/mrs /miss sososos(certificate prmary school,mbagala))

KUNA MTU AMETANGAZA TANGAZO LA KIFO NIMELIFURAHIA AKAWEKA NA ELIMU YA MHUSIKA KWA MBELE NA SEHEMU ALIOIPATIA
SASA KAMA NA UMEIPENDA NI VYEMA UKIONA UKO KARIBU KUONDOKA DUNIANI UKAOMBA NDUGU ZAKO WAKUWEKEE STYLE HIYO

EG
MR XXX/YYYY,BA ,UK
MRS PPPP/WWW,CERTIFICATE PRIMARY,MBAGALA-CHAMANZI
MISS HHHH/YYYY,DIPLOMA,AKIBA-CBE

INAPENDEZA KIDOGO TUNAKUWA TUNAENZI ELIMU YA MFIWA JAMANI MAANA WENGI WAKIFA NA ELIMU ZAO ZINAENDA CHINI SO MKIANDIKA HIVI KIDOGO KUNAKUWA NA KAKUKUMBU KUMBU DAH JAMAA NDIE ALIKUWA NA KA DEGREE FAMILIA NZIMA,,AMA PHD UKO MZIMA INAPENDEZA KIDGO...

SIO MBAYA UKAJIWEKEA MAZINGIRA HAYA HATAKWENYE ILE MISALABA ,,WANAPOANDIKA JINA WANAANDIKA NA ELIMU ULIOFIKIA,MBA,PHD,BA NA SEHEMU ULIKOIPATA AIJALISHI CHAMANZI,AMA KIBAHA KULE OUT
 
waweza jiuliza kim didy vipi anaanzisha kampuni la hasha nimeitoa hii kwa issa michuzi kuna msiba mmoja umetangazwa naona wameamua kuandika miss xxxxx,ba uk) sasa na wewe ukiweza kuwahi mapema kwa muumba basi ndugu zako wape ushauri kabisa wakuandikie ile degree yetu
mr jnkmm,diploma,chamazi) hakikisha wanakuwekea na sehemu ya chuo uliposomea kama ndugu yetu all in all mungu amuweke mahali pema peponi dadaetu mpendwa ,ba frm uk
mmh!!bado sijakuelewa mkuu.unaweza kurudia tena.:confused3:
 
Lengo Lako zuri lakini mbona hauleweki, kama vp andika hata kwa Lugha ya malkia.
 
Hii ni style mpya nawapa ya matangazo ya kifo incase ukiondokewa na ndugu yako kama ameishia la saba unaandika burian mr/mrs /miss sososos(certificate prmary school,mbagala))

waweza jiuliza kim didy vipi anaanzisha kampuni la hasha nimeitoa hii kwa issa michuzi kuna msiba mmoja umetangazwa naona wameamua kuandika miss xxxxx,ba uk) sasa na wewe ukiweza kuwahi mapema kwa muumba basi ndugu zako wape ushauri kabisa wakuandikie ile degree yetu
mr jnkmm,diploma,chamazi) hakikisha wanakuwekea na sehemu ya chuo uliposomea kama ndugu yetu all in all mungu amuweke mahali pema peponi dadaetu mpendwa ,ba frm uk

Hata mie nimeiona hiyo nikabaki khee! lakini inaonekana kwakuwa amefariki akiwa bado mdogo sana na wazazi wali-invest kwenye elimu yake, basi angalau waiweke hiyo title kwenye kumbukumbu ya msiba wake.
 
Hii ni style mpya nawapa ya matangazo ya kifo incase ukiondokewa na ndugu yako kama ameishia la saba unaandika burian mr/mrs /miss sososos(certificate prmary school,mbagala))

KUNA MTU AMETANGAZA TANGAZO LA KIFO NIMELIFURAHIA AKAWEKA NA ELIMU YA MHUSIKA KWA MBELE NA SEHEMU ALIOIPATIA
SASA KAMA NA UMEIPENDA NI VYEMA UKIONA UKO KARIBU KUONDOKA DUNIANI UKAOMBA NDUGU ZAKO WAKUWEKEE STYLE HIYO

EG
MR XXX/YYYY,BA ,UK
MRS PPPP/WWW,CERTIFICATE PRIMARY,MBAGALA-CHAMANZI
MISS HHHH/YYYY,DIPLOMA,AKIBA-CBE

INAPENDEZA KIDOGO TUNAKUWA TUNAENZI ELIMU YA MFIWA JAMANI MAANA WENGI WAKIFA NA ELIMU ZAO ZINAENDA CHINI SO MKIANDIKA HIVI KIDOGO KUNAKUWA NA KAKUKUMBU KUMBU DAH JAMAA NDIE ALIKUWA NA KA DEGREE FAMILIA NZIMA,,AMA PHD UKO MZIMA INAPENDEZA KIDGO...

SIO MBAYA UKAJIWEKEA MAZINGIRA HAYA HATAKWENYE ILE MISALABA ,,WANAPOANDIKA JINA WANAANDIKA NA ELIMU ULIOFIKIA,MBA,PHD,BA NA SEHEMU ULIKOIPATA AIJALISHI CHAMANZI,AMA KIBAHA KULE OUT
pamoja na ku-edit na kuweka font kubwa bado hueleweki mkuu:eyebrows:
 
Pole sana huyu ndie didy kama umezamia jf
usipate shida utaelewa pole pole
 
didy thread bana...yaani huwa analeta thread kama anakimbia vile....full raha
 
furaha sio q-bar pekee jamani hata jf lazima ufurahie
haya nikobreakpoint ukinona 2 zako non alcoholic
 
mr,president Jk.mwenyekiti wa ccm,amiri jeshi ,mkuu wa chuo,kanali,handsome,mtu wa pamba,vasco dagama,hon Dr,Dr,Dr,Dr,Mlezi wa ccm mkoa wa mwanza,baba rz1.
 
Mkuu kweli kukusoma huwa napata wakati mgumu sana....

Back
Top Bottom