Ushawahi kukutana na wezi wa mtandao?!?!

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
Wala usishangae.

Mimi nimekutana nae mwaka huu.

Amenidanganyadanganya nikaanza kumshtukia kwa kua amesahau chanzo cha sisi kukutana ni hapa hapa jf na bado ananiambia anaishi ivory coast anajua kifaransa na kiingereza kidogo na wakati alichangia thread yangu ya kiswahili niliyoipost MMU.

jiadharini wenzangu
 
Alitaka kukuibia nini huyo jamaa?
 
Mi nilidhani matapeli wa kuiba hela kimtandao.
 
Back
Top Bottom