mbunge Godbless lema Arusha mjini .zuiha kelele ukumbi wa muziki active club .mbauda atulali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mbunge Godbless lema Arusha mjini .zuiha kelele ukumbi wa muziki active club .mbauda atulali

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by morenja, Feb 3, 2012.

 1. morenja

  morenja JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,529
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  mheshimiwa atulali usiku vema .mwaka wa saba sasa .tumelalamika mpaka tumechoka .kwa katibu kata .diwani ccm sombetini .mkurugenzi jiji .magazetini .kamanda wa polisi arusha .kituo cha sheria na haki za binadamu arusha .lakini wapi .sijui serikali hamna !!?.na sheria mpya ya kumbi za muziki zipo .hatujui tatizo liko wapi ?.hivyo tafadhali mh Godbless lema .tunataka kuona uwezo wako kutatua tatizo hili .chadema nguvu ya umma
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Karibu JF...nakushauri uende kwanza kule kwenye jukwaa la utambulisho ukajitambulishe!
  Halafu naaona ukajifunze pia matumizi ya nukta na word spacing!!
  Kuhusu tatizo lako.. huyo Lema anahangaika na kesi zake bado, sidhani kama atakuwa na muda wa kushughulikia kero zenu. Pili kwa sasa yupo bungeni anakula posho yake safi kaibisa. Na akitoka bungeni anaandaa maandamano makubwa sana hapo mjini Arusha!!
   
 3. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Basi bora akamwambie jk aache kwenda ulaya kila wiki aje arusha kuzima mziki wa mbauda kama lema unaona afai
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ameshakusikia..atakuwa anamtuma Lema kwenye safari zake za nje za kuiwakilisha nchi!
   
 5. morenja

  morenja JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,529
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  :lol::lol::embarassed2::embarassed2:
   
 6. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  inategemea huo ukumbi unamilikiwa na nani. kama ni wa Ndesamburo, Maaaa weeee!
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kumbi zote kubwa za sterehe hapa TZ zinamilikiwa na viongozi wa CDM!
  Kwahiyo hiyo kazi aliyopewa lema bado itamuwia ngumu sana!!
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Wanaoenda ni wa kutika Jr na mbauda na majengo....kwanini muende km wakipiga inaleta kelele??gomeni wakose wateja
   
Loading...