Kwetu MOSHI-Hela kwanza. kwa wachaga zaidi

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,805
637
Sala Kuu: MOSHI: Mungu Onesha Sehemu Hela Iko?
Viitikio:
1.Hata Ikipungua Mungu Ongeza! (HIMO)
2.Mungu Angalia RAia NGawira Utuhakikishie! (MARANGU)
3.Mungu Ahidi Mapesa Bila Ajira! (MAMBA)
4.Mungu Wekeza Ishara Kwenye Akaunti! (MWIKA)
5.Kristu Imarisha Leo Elimu na Mapesa Akauntini! (KILEMA)
6.Kristu Imarisha Riziki Ujaze Akaunti! (KIRUA)
7.Usitunyime Riziki Uchumi! (URU)
8.Kila Ikipungua Baba Ondoa Siasa Hela Ongeza! (KIBOSHO) (By the way, Wakibosho si wanasiasa!!)
9.Mungu Atupe Chanzo Halisi na Ambacho Mapesa ni Endelevu!( MACHAME)
NA
10.Kwetu Ikikosekana SHIlingi MUngu Nakuapia Dunia Utaichukia! (KISHIMUNDU)
 
Hahahaha. . Ya waPalestina nimeipenda saaaaana.
Ila mbona SIHA imekoseka?
 
Ooh mama!
Kwetu Rombo sipaoni hapo... Au ndo ubaguzi umeanza?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom