natfuta nyumba ndogoooooo

natfuta nyumba ndogoooooo

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Isiwe ndogo saaana,
2. Iwe nzuri na yenye mvuto,
3. Isiwe imetumika mno,
4. Isiwe na umeme,
5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap),
6. Iwe nyeupe na ndefu,
7. Mpangaji niwe peke yangu,
8. Isiwe na masharti mengi,
9. Nisizuiliwe kutumia huduma za tigo,
10. Iwe katika mazingira ya usafi.

Nyumba nitakayoipata na kuniridhisha kwa haya yote 10 nitafanya mazungumzo ya kuinunua kabisa ili iwe yangu kabisa. Nawasilisha!​



 
Ipo Mbagala sema inabidi ufanyie ukarabati kidogo manake inavuja kwa nyuma nnaimani ww ni mtaala wa kuziba ukizingatia ww unatembea na nyundo misumari ipo..
 
Kuna moja alikuwa anaishi mwarabu mmoja hiv akahama,
ntaku pm ila kwa sasa anatakiwa ke,
 
Yahoo!

Kwa vigezo hivyo ulivyoweka hakika hupati hawa wa kukuPM!

Labda wale lala!
 
Isiwe ndogo saaana,
2. Iwe nzuri na yenye mvuto,
3. Isiwe imetumika mno,
4. Isiwe na umeme,
5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap),
6. Iwe nyeupe na ndefu,
7. Mpangaji niwe peke yangu,
8. Isiwe na masharti mengi,
9. Nisizuiliwe kutumia huduma za tigo,
10. Iwe katika mazingira ya usafi.

Nyumba nitakayoipata na kuniridhisha kwa haya yote 10 nitafanya mazungumzo ya kuinunua kabisa ili iwe yangu kabisa. Nawasilisha!​



Iwe na maji kiasi yanayotosha kwa matumizi ya ndani ila yasiwe mengi saaanaa.Pia
Mwenye nyumba awe tayari kukubali kujenga kanyumba kadogo Uani kwenye kiwanja chake.Ukipata nyingi ni PM nami nahitaji.
 
iko hapa jangwani ila kabla hujaingia ndani kuna chaka kubwa sana na ardhi yake iko chapachapa....lakini ina nafasi ya kutosha ndani
 
Vipi ikiwa na Bwawa???????????
mi sijari,nitatumia zana za kuogelea nimeshapata expiriensi za mafuriko pale uwanja wa fisi,na mtomsimbazi kwa ujumla!
 
Back
Top Bottom