Chafua jina jenga Afya.

Jeho

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
5,053
5,503
Wadau nawakariibisha sana wakati huu tujumuike pamoja katika kuchafua jina lakini in the other hand unajenga afya. Mimi hapa nachafua jina kwa ugali na mlenda plus mtindi. Karibuni sana, sharti mojawapo unatakiwa usiwe na aibu.
 
Back
Top Bottom