Juzi nilikuwa katika pub na kulikuwa na wanafunzi (Nahisi wa chuo) wanne (4) wa kike wakijipongeza. Mmoja wao inaonekana kilaji kilikuwa kimepanda kichwani akaanza kujisifu mbele ya wenzake kuwa...
Mlevi kaingia bar na kumwambia meneja....
"Ebwana daaaah...
Unajua mi ninashabaha ile mbaya... Naweza
kujaza mkojo kwenye ileeee chupa ya juu
kabisa counter bila kudondosha hata tone..."...
Wakuu niko hapa kwenye jiji letu la Arusha maeneo ya stand kubwa ya mabasi naendesha gari kuelekea kupata chakula cha mchana, lakini kinachonichanganya mpaka kufikia hatua hii ya kuleta huu Uzi...
Nimegundua kwamba watu wanapokwenda kazini asubui huwa wana hasira ya kazi na wanaporudi majumbani huwa wana stress za kazi na kuanza kukumbuka uvundo uliotokea siku nzima!sasa usiombe ukapanda...
Kuna mzee mmoja anapenda sana mabinti wadogo,siku moja akamuona binti anachati,basi mzee akazuga zuga,mpaka akamuomba yule binti e mail,binti akamwandikia kwenye kikaratasi e mail...
Obama update his facebook status LADEN IS KILLED, JUSTICE HAS BEEN DONE, after some time he get notification OSAMA BIN LADEN LIKES YOUR STATUS.:biggrin:
Habari wana JF... Hivi usharobaro unaelekea wapi? Maana nimekutana na mtu anajiita sharobaro kavaa pedo lakini me najua pedo wanavaa dada zetu sasa nimeona nililete kwenu jambo hili huku sio...
Kuna tetesi kuwa JF ni ya CHADEMA na CHADEMA ni ya WACHAGA na WACHAGA ni WALEVI na WALEVI ni WATU MAKINI.
Swali linakuja kwako sasa je memba wote wa jf ni MAKINI yaani WALEVI kama ni kweli...
Habari wana JF….. :poa
Ukiwa kama mtoto haijalishi uko katika hali gani, waishi mahala gani ama jamii gani... Tunakua kama malaika na the world is so wonderful in our eyes... kila kitu...
A guy went up to his father saying:"Daddy, I fell in love and want to date this awesome girl!"
Father: That's great son. Who is it?
Son: It's Sandra, the neighbour's daughter.
Father: Ohhhh I...
Bibi kakamatwa kwa kuiba pakti ya sukari super market.Alipoulizwa kwa nini aliamua kuiba sukari,akajibu;"nilifika hapa kwa malengo ya kununua juisi,nilipochukua kopo la juisi,kwenye label yake...
Bia baada ya kupanda hadi 1800/= nikarudi katika vikao vyetu vya mzunguko wa kopo moja la komoni kwa wachezaji 12. Tukaagiza kopo la ltr 4, yaani amboni. Tukaanza kubugia, mimi nilikuwa namba 10...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.