mlevi.meneja bar & wapambe

chante

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
511
675
Mlevi kaingia bar na kumwambia meneja....
"Ebwana daaaah...
Unajua mi ninashabaha ile mbaya... Naweza
kujaza mkojo kwenye ileeee chupa ya juu
kabisa counter bila kudondosha hata tone..." Meneja akabisha na kupinga
... kabisaaaa, mshikaji
akamwambia.... "Basi tufanye hivi... Nakupa
laki moja nikidondosha hata tone pembeni, na
nikishindwa we nipe bia 3 tu..." Meneja akaona
isiwe tabu, kucheki
huku na kule akaona baa watu wako busy busy akakubali... Bila
taabu, jamaa akasogea
kaunta.... Akaanza
kukojoa lakini
hakufikisha hata tone kwenye chupa.... Meneja
akadai chake, mshikaji akatoka nje na kurudi na kama milioni moja
mkononi huku
akitabasamu...
Akampatia meneja
pesa yake... Kwa
mshangao meneja
akauliza... "Hiyo mihela umeokota wapi na mbona unatoa kirahisi
hivyo huku
ukitabasamu???!!"
Jamaa akamwambia....
"Nimeweka dau la laki moja moja na watu kama kumi, wale jamaa paleee nje wanaochungulia
dirishani kuwa naweza kuja kukojoa kaunta na usinifanye chochote!!!"
 
We chiz. Kweli huu uzi bado uko humu humu wewe unaovelap tena, poor thinking capacity.
 
Back
Top Bottom