Masharo wanakoelekea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masharo wanakoelekea

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by ney kush, Feb 22, 2012.

 1. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 990
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Habari wana JF... Hivi usharobaro unaelekea wapi? Maana nimekutana na mtu anajiita sharobaro kavaa pedo lakini me najua pedo wanavaa dada zetu sasa nimeona nililete kwenu jambo hili huku sio kumuunga mkono david cameroon
   
 2. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kuvaa pedo kwa mwanaume si sahihi. Haina tofauti na kuvaa sketi au gauni! Ingawa kuna vitu kama heleni ambavyo baadhi ya wanaume huvaa, ambao baadhi yao huwa wanapendwa kuitwa mashalobaro.

  Kwa hii kesi ya kuvaa pedo, nafikiri ni uelewa mfinyu wa huyo shalobaro maana kumbuka kuwa masharo wengi si watu wenye elimu na uelewa wa kutosha. Ikiwa atakuwa amevaa hiyo pedo kwa makusudi, ni wazi kuwa atakuwa mwanachama wa huyo David Cameroun! :A S embarassed:
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mimi nadhani unamaanisha 3/4 pants za wanaume au??
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,216
  Trophy Points: 280
  Huyo atakua sharo uharo kichwa panzi kameroon mtarajiwa!
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  Duh...............
   
 6. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 990
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  mi sijui zinaitwaje madamex ila dizaini ni za kike 4 sure
   
Loading...