Herufi K

Herufi K

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
47,101
Reaction score
100,570
Hii helufi inawakilisha vitu vitamu na venye sukari sukari

Mfano.

>>K.....Keki
>>K.....kashata
>>K.....kalimati
>>K........???
 
Jamani tupunguze kunakili na kupachika imekua kero sasa aaghr!
 
bebi umeanza eeh.....edit basi isomeke herufi bana.....​


Bebi mie wakuja katika hii lugha...nishazoea kihangaza au kishubi..cha kule NGARA


hahahahahaaha..kata K...malizia bana..mambo ya herufi K..
 
kanga....
kande....
kimswilia.....
kunde....
kaundime.....
kindumbwendumbwe.....
niendeleee au hizo zinatosha.......?

Endelea....
 
Back
Top Bottom