JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ningeiweka kulee kwenye Jukwaa lilee lakini ingekuwa ni balaa!! Mama mzazi wa Blandina Nyoni Katibu Mkuu Wizara ya Afya (maana hajafukuzwa wala mwingine hajateuliwa) Amefariki dunia jana saa moja...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naanza lakini msinihukumu; 1. Ukiona mtu ana penda sana mbege-Ni Mchaga 2. Ukiona mtu ni bahiri sana-Huyo bila shaka atakuwa Mpare 3................... 4...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Watu hawa hua wanachangamsha jukwaa. Hivi wako wapi au jukwaa gani maana namis sana michango yao.
0 Reactions
33 Replies
2K Views
A lady load onto a bus carrying her baby, seats next to a man, she starts to breastfeed the baby, baby refuses to suckle, she yells at the baby “ebu nyonya ama ntamnyonyesha huyu uncle yupo hapa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamii nikutana na hii mambo ktk pitapita zangu ikanivutia. Nipokeeni. Makofi tafadhali!!
0 Reactions
0 Replies
764 Views
During a visit to the mental asylum, a visitor asked the Director "How do you determine whether or not a patient should be institutionalised?" "Well" said the Director, "we fill up a bathtub...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Today I spent minutes trying to overtake some annoying lady who was driving right smack in the middle of the road, never using her rear view mirrors and absolutely deaf. Over the rest of the...
1 Reactions
1 Replies
856 Views
http://www.youtube.com/http://www.youtube.com/watch?v=L0Dx7g4qcRw&feature=youtube_gdata_player
0 Reactions
7 Replies
1K Views
chipsi swala 20000 supu ya mamba 50000 wali simba 70000 snake bite 10000 ugali chui 40000 giraffe burger 30000 wote mnakaribishwa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
..Leo saa Tisa..
0 Reactions
11 Replies
1K Views
jamani ndugu zangu naomba mtu mwenye contact ya chuo cha ustawi wa jamii cha DSM anisaidie maana nimeangaika kwenye google bila mafanikio.nakama unajua qualification zao pamoja na muda wa maombi...
0 Reactions
5 Replies
971 Views
Yaani nimekutana na jamaa anaeongea hivi hadi nikashangaa maana sikuwahi kuona jambo kama hili anafanya mtu ambaye tayari ana dhamana ya wananchi wa Tanzania wana kazi ya ziada kuhakikisha rais...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
kichaa alikuwa ufukwenimwa bahar akiwaza,Jamaa akamuuliza:Unawaza nini?kichaa akajibu:natafakar hii bahari ingekua supu ningeinywa na chapat ngap? Good night ma dias.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
siku kama ya leo mama yangu mzazi aliniambia ilikua furaha sana kwani kijana wa kiume nilizaliwa pongezi kwa mama mzazi kwa kunilea mpaka hapa. sina shaka napokea pongezi zenu pia.
0 Reactions
15 Replies
10K Views
Habari zenu wakuu, Leo ni jumatano ya majivu kwa wenzetu wakristo na wakati mzuri wa kutafakari kufa kwa mwokozi Yesu kristo na ushindi wa kifo chake. Nawatakia wote kwaresma njema yenye utulivu...
0 Reactions
89 Replies
6K Views
rb
:couch2: hi come n chit chat wit meh
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wah. Wabunge kikao kinarejea tunaendelea pale tulipoishia jana, kwako mh. Liverpool
0 Reactions
101 Replies
8K Views
naomba kuuliza swali kwako Nape nauye, je? ulivuta bangi ukubwani ama ulizaliwa na degedege? Nape Nnauye HAKIKA CHANDIMU NA JF WAO WAMECHANGANYIKIWA SANA....hahahaaa MPAKA WANACHONGA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa maoni yangu,yafuatayo ndiyo maneno maarufu kwenye Vyuo Vikuu vyetu hapa Tanzania: 1.'Boom'(fedha za kujikimu zitolewazo na Bodi ya Mikopo ya Elimu Ya Juu kwa wanachuo/wanafunzi) 2. 'Kuuza...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kufumania na kufumaniwa.
0 Reactions
67 Replies
5K Views
Back
Top Bottom