Usifungue kama hujalewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usifungue kama hujalewa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kitalolo, Feb 15, 2012.

 1. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kuna tetesi kuwa JF ni ya CHADEMA na CHADEMA ni ya WACHAGA na WACHAGA ni WALEVI na WALEVI ni WATU MAKINI.

  Swali linakuja kwako sasa je memba wote wa jf ni MAKINI yaani WALEVI kama ni kweli basi JF ni ya chadema na chadema ni ya wachaga na zito ni mchaga na hata Prof Baregu na Prof. Safari, Mr 2, Wenje, Lema, Lissu, Mnyika, Mdee, Slaa, NA waliowachagua ni Wachagha? kuwa makini chukua hatua
  na kama unavutia baghe chooni kuanzia leo acha maana utakuwa kichaa wataalumu wamethibitisha hilo kuwa harufu ya chooni ukichanganya na harufu ya bange inaleta ukichaa wa aina flani na wameshauri kuwa sehemu salama ya kuvutia bangi ni vituo vya polisi na haswa polisi post ila ukienda kuvuta lazima utoe taarifa ili polisi waweze kukuonyesha sehemu ya kuvutia ila wakataadharisha pia ukiende uende na ya kutosha maana inaweza isiwatoshe wewe na hao watakaokupa ruhusa ya kuivuta
   
 2. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hahahhahha hahahahha hahahahhaa,
  Khaaaaa,jamani mbavu zangu mie lol!

  Huu ni mchanganyiko maalumu,hahahahahhahah!
  Aika ruwa!
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Ulevi.....hasa ulevi wa madaraka!!!! Ni wa kuogopa kama ukoma
   
 4. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Mbonyi shafo Klemeee.....
   
 5. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wewe ni mlevi namba moja!!!
   
 6. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Sasa kama ni walevi wanatumia kinywaji gani?
   
 7. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ingeruhusiwa kubadiri kabila,ningehamia uchaga.
   
 8. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Du du du du du du.
   
 9. R

  RUTARE Senior Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa sababu cani?
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Lazima utakuwa umetoka kulipuliza ndo uka-post hii kitu.
   
 11. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  haya mdoudou yamenichekesha sana
   
 12. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  umenena ndiyo
   
 13. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ***
  Bhang ukichanganya na stress hupelekea kufanya maamuzi ya ajabu na yasiyofikirika !
   
 14. B

  Bukijo Senior Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 28, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Du!!! huyu nae!!!!! usiwashe Computer baada ya kuvuta/ukiwa unavuta bangi!!
  Computer inamionzi flani ikiingiliana na bangi kichwani unaweza kupata madhara kama yaleyale upatayo ukivutia bangi chooni!!!
   
 15. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  yaani wewe hata kwenye ulevi unakuwa wa mwisho kama mtoto wa mwikulu mkuu
   
 16. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  We umevuta bangi mbichi tena ya kwenye kibuyu.
   
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Na kwa kuwa haiwezekani mo nimeamua kuoa mchaga...
   
 18. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #18
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  stimu zinalipiwa una hela ww
   
 19. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #19
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  mseto!
   
 20. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #20
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  mseto! Ila shm nzuri kuvutia bangi choon unabisha? Nenda shule za wazazi zote afta break!
   
Loading...