Good Morning school, first you should know this is an assembly!! Those boys who are mammaring and malinger lingering at the back should Shut up!!.I would like to bring to your attention that Mrs...
Two women go out one weekend without their husbands. As they came back, just before dawn, both of them drunk, they felt the urge to pee. They noticed that the only place to stop was a cemetery...
Dogo mmoja alikua anapiga story na dingi yake, mara girlfriend wake akatokea, na dingi mwenyewe mtata sana dogo akaamua kutumia akili ya kuzaliwa na maongezi na gf wake yakawa hivi...
A store that sells husbands has just opened where a woman may go to choose a husband from among many men
The store is composed of 6 floors, and the men increase in positive attributes as the...
Nilikua Nafatilia kipindi cha ATN,This is My story kuna pastor anachambua freemanson.
Kasema NIKE=No Intimacy Kill Everyone
IMF ukiigeuza(kuificha) FMI=Free Manson International,akataja...
kuna *shule moja ya wavulana watupu,ambapo wanafunzi walikuwa manunda ile mbaya,Tatizo wanafunzi hao walikuwa wanawadhrau sana walimu wao wa kike,walikuwa hawafati amri na maagizo ya hao maticha...
Ule wimbo wa izzo bus wa ridh 1,leo namwimbia mwanaAsha,naanza km hv Corus;
Naongea na mwanaAsha mwanaAsha ripot hii usipuuze
Verse;
mwambie mshua wako akisaidie kusaka credt,afute matokeo yte...
Nimetoka kule kidogo roho iache mwili kwa ghadhabu na kisebusebu, wengine wanasema kalishwa sumu wengine wanadai jamaa anajipendekeza... basi mkanganyiko mtupu!! Afadhali huku tunaulizana mambo...
wang'wise naliyomba gekeh hivi zile filamu 3 za kikombe cha babu,mara kikaja cha dogo,kisha cha bibi bado filamu hizi zinaendelea au?na kama zinaendelea zimefikia season ya ngapi???????
Baada ya hotuba ya mkuu wa shule ya kiminyio kuwa ndefu ktk mahafali ya shule, mugabe akashikwa na usingizi! Aliposhtuka akakutana na sauti ya wanafunzi ikiimba"this is the time to say good...
habari zenu jaman, hivi kazi ya makamu wa Rais ni ipi?? Maana naona jamaa kila kukicha anazindua mara shule,mara hospital mpaka baadhi ya wadau wanasema eti anatembea na mkasi mfukoni kwa ajili ya...
wahenga walivyosema hujafa hujaumbika kwakweli hawajakosea!!!!nilikutana na demu niliyesoma nae primary kwakweli huyu msichana alikuwa mbaya!ila kwa sasa ni moto wa kuotea mbali,ngozi soft na...
Habar zanu wana jf..nimewamis cna kwa kweli
Sa me apa naenda arusha kesho ntakuwa huko kwa miezi minne kikaz sa me apa nahiyaji wanajf wawe waliopo arusha wanipe kampani km huwa mnaonana iyakuwa...
Wana Jf naomba kujuzwa. Ni kitu gani kizuri kupita vitu vyote hapa duniani ambacho mwanadamu akikifanya hujisikia faraja zaidi? Mfano wengine usema kuwa ni usingizi, chakula, mazungumzo, tendo la...
Best Selling Bongo muvi
Title: Amelishwa Hajalishwa
Starring: H. G Mwakyembe, co-starring S. Sitta
Kubwa la maadui: DCI Manumba
Location: Dar es salaam and India
Mume alimkuta Mkewe anaangalia kipindi cha Mapishi
akamwambia mkewe Unapenda kuangalia Kipindi cha mapishi halafu kupika haujuwi.
Mke akamjibu Mumewe we unavyoangalia picha za X mbona na ww...
Mimi Bata maarufu, Matope chakula changu,
Nanijua ni mchafu, Taka nyumba yangu,
Vipi we maarufu, Uwe rafiki yangu,
Mimi ni Bata, Mzoefu wa kupata....
Anaendelea Tena
Kama huniamini, uliza vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.