Naomba ban kwenye jukwaa la kikubwa

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,530
13,467
Invisible; kesho tunaanza Kwaresma, hivyo naomba uninyime access kwenye jukwaa lile lenye matusi, naogopa mipicha ile itanidhambisha!

Natanguliza shukrani!
 
mmmmh, pole hasi kuomba msaada kweli umetingwa.

Umeona eeh! Waswahili wanasema, sema shida yako usaidiwe, usiposema watajuaje?

Lkn Kongosho sema ukweli, ukiingia kule si unaharibu swaumu eeh!
 
Sasa ban ya bar na wale machangu wa corner bar na ohio atakusaidia nani? Usifunge kifarisayo! Learn how to lead your heart and mind, don't just follow them.
 
Mi sijawahi ingia...

Ungeomba ushauri kwa wenzako unaoingia nao...

So,rekebisha tu heading ya thread yako...
 
Invisible; kesho tunaanza Kwaresma, hivyo naomba uninyime access kwenye jukwaa lile lenye matusi, naogopa mipicha ile itanidhambisha!

Natanguliza shukrani!

nani alikutuma uingie huko kwani ulilazimishwa inatakiwa ushinde iko kishawishi cha MK
 
Invisible; kesho tunaanza Kwaresma, hivyo naomba uninyime access kwenye jukwaa lile lenye matusi, naogopa mipicha ile itanidhambisha!

Natanguliza shukrani!

We usikimbie nataka kuja na vitu adim huko,tena vya kibongo yaani hautatamani kuondoka kabisa,natafuta mlango wa kuingilia Wakuu nipeni Direction.
 
hata bila swaumu panaharibu tu upako.
Kwa kweli swaumu pataiteketeza kabisa.

Umeona eeh! Waswahili wanasema, sema shida yako usaidiwe, usiposema watajuaje?

Lkn Kongosho sema ukweli, ukiingia kule si unaharibu swaumu eeh!
 
Siku hizi hakuna ban ya hivi hivi,mods wanakuloga kwanza then unapigwa ban
 
Sasa ban ya bar na wale machangu wa corner bar na ohio atakusaidia nani? Usifunge kifarisayo! Learn how to lead your heart and mind, don't just follow them.

Ya bar nitaongea na muhudumu asinikopeshe tena! LOL
 
Back
Top Bottom