ZENITH
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 908
- 604
Bibi kakamatwa kwa kuiba pakti ya sukari super market.Alipoulizwa kwa nini aliamua kuiba sukari,akajibu;"nilifika hapa kwa malengo ya kununua juisi,nilipochukua kopo la juisi,kwenye label yake limeandikwa'SUGAR FREE',ndiyo maana nikalipia juisi peke yake nikidhani sukari ni zawadi ya ziada kwa kila mteja atakaenunua juice".