Jamani, uzuri wangu hadi sijipendi

Feb 14, 2012
71
8
wana jf naombeni ushauri yanikila nkipita psiiii psiiii hata nkiwa nadive na wnaonsumbua wame za watu kisa figa na uzuri
nifanyaje
 
Jamani Jf ina mambo sasa huyu naye tumsaidiaje.Hahahahaaaaaaaaaa yangu macho tu vituko haviishi
 
hebu tweleze mwenzetu unajilaumu uzuri,vipi unatamani chongo? Jifunze kumshukuru Mungu kwa yote wenzio wanatamani hata mguu mmoja wapewe waweze kutembea hata kwa fimbo wanakosa.
 
Ushauri wa bure !
Achana na hao wamitaani, bora uwabariki ama uwagaie mamembers wenzako wa Jf
 
Psiiii ni kawaida kwa mademu uctuzingue hapa mkizikosa psiiiii mnalalamika wabaya mnapata psiii mnalalamika sa unatka nini psuuuuuuuu
 
Hujafa hujaumbika, 1.mshukuru mungu kwa kukuumba mzuri
2. Usiwe na majivuno kisa uzuri wako.
3. Tumia uzuri wako kwa faida yako na wanaokuzunguka.
4. Kumbuka mke wa SAJUKI alikuwa kama wewe.
 
Hembu weka picha yako kamili hapa ili nasi tutathmini uzuri huo unaosema.
 
Mshukuru Mungu kwa uzuri uliopewa.. Hizo psiii zisikusumbue ni kawaida but isije kuwa unazi entertain.. Ukivaa kimini na umebarikiwa guu na makalio..au unavaa top vifungo wazi wakati kifua MashAllah.. Lazima upate usumbufu!
 
Hivi ukiwa kwenye gari shape huwa inaonekana
Au ukiwa kwenye gari umefunga vioo vyako kuna anayekuona wewe ni mzuri
JF never boring - as per The Boss
 
Kwl w mzur mpaka mwandiko.
Maana nikiisoma hiyo text yako,
Daah! naona kama nakuona bana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom