What is your "Sweetest" Childhood Memory?? THAT It made you feel So Good and Speacial! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What is your "Sweetest" Childhood Memory?? THAT It made you feel So Good and Speacial!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by AshaDii, Feb 20, 2012.

 1. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Habari wana JF…..
  :poa


  Ukiwa kama mtoto haijalishi uko katika hali gani, waishi mahala gani ama jamii gani... Tunakua kama malaika na the world is so wonderful in our eyes... kila kitu almost Perfect!Our elders/guardians na parents hua as if wao ndio kila kitu na what they know is absolute and perfect! Sio woote tumejaliwa kulelewa katika mazingira mazuri na conducive for a kid... wengine wamelelewa kwa mateso na manyanyaso.... Lakini regardless ya yoote hayo... Kuna kitu/vitu vile hukufurahisha as a kid and a person which sticks in your mind FOREVER... Tokana na jinsi kilivo kugusa kwa Furaha... ndani ya roho na Mwili mzima! Yaani inakufanya pamoja na kua na utu uzima huu.... you still remember once in a while....  Now ADI is interested in that "Sweet" Childhood Memory of yours.... Care to share?
  Please tuendeni on Child hood Sweet Memory Lane.... And lets Enjoy the ride.  Pamoja Saana
  ADI.
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Spesho dayati.. AD mambo? Shikamoo!
   
 3. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,930
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  kuchunga mbuzi na wenzangu
   
 4. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,930
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  kucheza ready jamani huh! Mimi nikiwa mchangia kote alwayz ili nicheze mara kwa mara
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Umeniacha njia panda.... Spesho dayati? lol.... Mambo yapo mswano. Na marhaba Tanmo.
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Prishaz... Prishaz... Jamani....


  Huu mchezo siamini kama kuna binti hajawahi cheza... but hata hivo Prishaz hakuna kingine specific? a moment? a more speacial feeling?
   
 7. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,930
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  seriously ADi special moment ambayo haitanitoka ni kuchunga mbuzi nikiwa mdogo,huku michezo ikitawala na hapo hapo mbuzi kupotea! U can imagine..
   
 8. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Du! stick za mdingi yaani bora za bi mkubwa zilikuwa haziumi, lakini za mdingi nikizikumbuka..! namsifu sana kweli matunda yake nimeyaona ukubwani, la sivyo ningeharibikiwa, maana nilkuwa mtukutu usiombe!
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Now I am impressed... I seriously thout ulikua unatania... najarib imagine... umenifanya nianze fikiri kabila gani watoto wa kike kwa kiume huchunga mbuzi pamoja...lol (mwanamke nilivo mbea!) Enways.... Thank you for sharing, naamini kabisa kua kuna lot of changes zimetokea na wanao maybe hawawezi pata hio bahati ukijaaliwa....

  Mbuzi ilipatikana? mlipona kichapo? lol
   
 10. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa napenda sana kucheza km mama,nilikuwa nabeba wadoli,
  Yani kuna wakati mdoli wangu alipoibiwa nilikuwa nabeba jiwe ili mradi niwe na mtoto mgongoni,
  Mpaka fm two nilikuwa siwezi kulala bila mdoli pembeni lol!
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Scofield umenichekeshaje? yaan wewe stick za mdingi ndio "sweet" child hood memory? lol.... Dah! Nashindwa kupimia.... Napenda the fact kua umeona kua stick zilikua kwa malengo mazuri na for your own benefit.
   
 12. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  nilishawahi kuruka uzio wa michongoma nikikimbia kichapo cha maza; akiwa amepitia jeshi alikuwa anao uwezo wa kutokan sambamba......ila namshukuru mama yangu alinichapa mpaka nikatia displini ya maisha............!
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Kama nakuona vile... ulikua nabeba jiwe.... nyie kwenu wapi Canta ambako mnashindwa kutengeneze mdoli wa kufinyanga kwa udongo na kuchomeka tumabaki twa rasta unatuchomeka kichwani kama nywele....lol... Unaenda kwa fundi kuokota mabaki ya nguo na kushona nguo za mtoto..... Umenikumbusha mbali dear....lol

  Kwa hio siku hizi unalala na nini/nani pembeni? :A S embarassed:
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Kuiba matunda kwenye mashamba ya watu, be it maembe, malimao, machungwa, mapera,zambarau.

  Kucheza rede, sheki, kombolela, ukimwi, and all seasonal michezo.

  Shule, nilikuwa napenda sana shule, yaani kama nilimisi haizidi 10 times kwa primary shool.
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  M_J hio avatar inanifanya nisiamini kama usha tia discipline....lol
  naona kama utundu uko pale pale....

  btw.... mama vipi alikua anaogopeka kama kina mama wa Kenya? (I kid!)
   
 16. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #16
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,930
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  AshaD,katika kipindi chote hicho sikuwahi kuchapwa maana nyumbani hawakujua lakini ilikuwa inatucost sana mpaka kuwapata na wakipatikana tunaunga moja kwa moja home huku tukiwa tunawachapa sana bila kupumzika so kufanya tuwe tunakimbia nao na kurahisisha kufika home kwa haraka,umeweza kujua ni kabila gani hilo?halafu nimesahau ktk kundi la wachungi kama saba mimi pekee nilikuwa wa kike(Trust me)
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Kongosho inaonesha you had a wonderful Childhood! Hizo events za ukweli sana hizo....
  Inaelekea ulikua hupitwi na jambo mtaanai...lol

  Ila tu umeniacha njia panda... Kucheza Ukimwi?
   
 18. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #18
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Yaani AD kila napokumbuka hii kitu huwa nazidi kumuona mdingi alikuwa anataka niwe mtoto wa aina gani!
  R.I.P dingi leo nina mafanikio lakini wanafaidi wengine.

   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  Entire childhood was soooooooooooooooooooooo special lol
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Ok... sasa nimekupata! Wanapotea mnapochunga and then mwajitahidi kuwapata..... Ni kazi ngumu kusema kweli.... Kabila sijaelewa dear... (plz tell) sababu inaonesha kua labda ulikua an exception kua msichana pekee mchungaji ambae anaruhusiwa... labda utupe highlight hasa ni kwa nini waliruhusu hio; if you won't mind. lol
   
Loading...