Mapenzi kigeugeu.

Vodka

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
906
96
Jamaa akakutana na demu njiani akielekea kanisani. Jamaa alivutiwa na binti yule akaanza kutupa mistari,kabla ajapata jibu wakafika kanisani. Katikati ya ibada wakati wa sadaka jamaa ili kujionesha jinsi anavyo mpenda yule binti alimnong'oneza "...Usijali nitakutolea sadaka".
 
Imesha tolewa hapa na umekopi kutoka Kwa fredwaa wa RFA ,ukakosea hata kuipresent.
 
teh teh teh teh demu angejibu sadaka usijali ila baadaye ninunulie chips
 
Imesha tolewa hapa na umekopi kutoka Kwa fredwaa wa RFA ,ukakosea hata kuipresent.
kwa hyo tusiye sikiliza redio free hatuna haki ya kucheka? acha wivu ww! teh teh teh uwii! eccelent unaharibu mbav zangu!
 
hapo ndo jamaa ataishiwa nguvu,chips bei ghali bhana
 
Jamaa akakutana na demu njiani akielekea kanisani. Jamaa alivutiwa na binti yule akaanza kutupa mistari,kabla ajapata jibu wakafika kanisani. Katikati ya ibada wakati wa sadaka jamaa ili kujionesha jinsi anavyo mpenda yule binti alimnong'oneza "...Usijali nitakutolea sadaka".
endelea kutuletete nyingine zaidi kutoka rfa tucheke pamoja..
Asante.
WAKO KWENYE UJENZI WA TAIFA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom