Kuna tetesi kwamba Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kina mpango wa kutoa ajira ya Bursar bila kufuata taratibu za ajira. Habari nilizozipata toka kwenye vyanzo vya uhakika zinasema lile tangazo...
Mvua inanyesha ila watu wanatembea tu kwenye mvua na hakuna hata mmoja mwenye mwavuli. Nani anajua siri ya mafanikio haya?
Yani watu wenyewe hajaipendi kabisa!!!
nimewasiliana na mdada wangu wa moyoni gfsonwin, amelazwa na mtoto moi muhimbili! mtoto ameshaingia theatre na anafanyiwa upasuaji wa mguu! MUNGU NI MWEMA MY DEAR, TUNAMKABIDHI mtoto mikononi...
Nimeingia Jf baada ya kumuona mume wangu humu.
Natafuta hawara wa kunipotezea mawazo humu chit-chat.
Kwa mwanaume aliye tayari ani-PM.
UPDATES:
Hawara amepatikana,na shughuli ya kupokea PM...
Dear FP,
I am so glad to inform u that I have fallen in Love with you since the first day when i saw your Avatar. I would like to present myself as a prospective lover. Our love affair would...
... Mtambuzi ...
ukiwa sio tu kama moja ya kaka na rafiki yangu hapa jamvini bali pia kama
mmoja wa member ambae huwa nafurahia uwepo wake kwa mada mbali mbali na mijadala
ya hapa na pale...
Wakuu wana Chit Chat,jana nilikuja hapa nikitafuta wa kujivinjari naye.
Nashukuru kwa wote walio respond kwa PM.
Nimempata tayari,hivyo PM kwa ajili ya suala hilo zinatosha.
Wasalaam!
Wana JF mimi nafsi nakereka sana na hii zawadi,yes zawadi ni zawadi,but hii ya tsh50 siyo.
Mtu unatuma zaidi ya tsh 800,000 kwa M PESA,mara unapokea sms eti umepewa zawadi ya tsh50 kwa kutuma...
kuna haka katangazo ka dume kondomu mimi kananishangaza vipi mwanaume wa kweli atumie dume wakati na yeye ni dume.sasa dume na dume wanatumianaje wadau.
Kuiga siyo mbaya sana,,
Hasa kuiga kwenye Muviz pamoja na muziki wa kimamtoni yale yaliyo na manufaa,,
Lifestyle za Masista Duu na Mabraza Meni wa kibongo kwa kiasi kikubwa ni muigo kutoka kwa...
niko mwanza,jamani maraha yananiua,msosi wa nguvu kirunba resort,live music villa,mwanza hotel live band wanawake wa ukweli.......yaani mwanza shuruti nirudi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.