Wakati mwingine...........

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,465
11,166
Kuiga siyo mbaya sana,,

Hasa kuiga kwenye Muviz pamoja na muziki wa kimamtoni yale yaliyo na manufaa,,

Lifestyle za Masista Duu na Mabraza Meni wa kibongo kwa kiasi kikubwa ni muigo kutoka kwa Muviz na Muziki hasa wa Kimarekani,,

Sasa basi, kitendo cha Masista Duu na Mabraza Meni wetu kuiga zile Pozi za kufanya Mazoezi asubuhi na Jioni kimeni-impresi sana..

Keep it up Masista Duu na Mabrazameni wetu, Bongo bila Vitambi inawezekana..

By the way, ikiwezekana tuwe na JF Fitness Programs, Kwa wakazi wa Dar wapenda Jogging karibuni UDSM grounds tunyoroshege viungo kila siku jioni..

Karibuni Kwenye fukwe na Ma-swimming Pool zilizojaa tele hapa jijini tu-swim kiburudani na kimazoezi pia..

Mapendo.
TANMO
 
Hebu elekeza vizuri.
Hayo majogging na masarakasi yako maeneo gani maana UDSM kubwa.
au huko The Hill ni bure?
 
Mkuu swala la kufanya mazoezi si lazima kuiga.
Ila ni vizuri kama unaona umesaidika kwa kuiga.
 
Viwanja vya Yuu Di Esi Emu si unajua vilipo Mamii?
Wewe ukifika pale nibip nitakuja kukuchukua kisha tutaanza Tizi.
Unapendekeza tuanze na Sama Soti au Misamba?

Karibu.
 
Nimekuwa Im-presdi kuona kuwa watu wameweza kuliiga na hilo Mkuu..
Na wewe iga ufurahie mafanikio...
 
Hivi kwani utaki kuendelea kuishi.
Viwanja vya Yuu Di Esi Emu si unajua vilipo Mamii?
Wewe ukifika pale nibip nitakuja kukuchukua kisha tutaanza Tizi.
Unapendekeza tuanze na Sama Soti au Misamba?

Karibu.
 
chini skuna, kati kimini halafu juu weka kipedo..

Mmmhh...hayo hayawezi kuwa ni mazoezi,labda kama ni mazoezi ya kucheza movi za mambo ya kikubwa.
ruttashobolwa hebu mzuie huyo mrembo wako asishiriki hayo mazoezi.
 
Last edited by a moderator:
Aje akiwa na bikini kabisaa...haa haa haa!!!
Nahisi hapo ndiyo penyewe mkuu.

Mkuu Asulo na wewe unakaribishwa kwenye hii Program,,, hata ukija na suti poa tu....
 
Kuiga siyo mbaya sana,,

Hasa kuiga kwenye Muviz pamoja na muziki wa kimamtoni yale yaliyo na manufaa,,

Lifestyle za Masista Duu na Mabraza Meni wa kibongo kwa kiasi kikubwa ni muigo kutoka kwa Muviz na Muziki hasa wa Kimarekani,,

Sasa basi, kitendo cha Masista Duu na Mabraza Meni wetu kuiga zile Pozi za kufanya Mazoezi asubuhi na Jioni kimeni-impresi sana..

Keep it up Masista Duu na Mabrazameni wetu, Bongo bila Vitambi inawezekana..

By the way, ikiwezekana tuwe na JF Fitness Programs, Kwa wakazi wa Dar wapenda Jogging karibuni UDSM grounds tunyoroshege viungo kila siku jioni..

Karibuni Kwenye fukwe na Ma-swimming Pool zilizojaa tele hapa jijini tu-swim kiburudani na kimazoezi pia..

Mapendo.
TANMO

Kitambi changu bado nakitaka, kinanipa kiburi cha kukopa kwa mangi.
I cant let it go kwa sasa, endeleeni tu kujogi.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom