mheshimiwa catherine magige atinga arusha leo kwa ndege ya precision air ya saa 5 asubuhi peke yake akafwatwa na dereva wake kwenye airport ya kimataifa ya kilimanjaro(KIA)
Baada ya kuwamis wana jf kwa siku 31, sasa nimeujua uchungu wa BAN, hasa ikukute kwa kuwatukana bodi ya mikopo ukidhani wanakusikia. Ni kuomba radhi tu kwa sasa, maana body washafunguka na kitu...
Mlevi alianguka toka juu ya gorofa
fasta watu watu wakamfuata kumsaidia
wakamuuliza vipi imekuaje? nlevi akajibu
" SIJUI HATA MIMI NDIO NAFIKA SASA HIVI"
Sina jinsi,kesho naamkia anjun mafia,kuna genge la vinuka mkojo wameamua kuvamia chichat kwa lengo la kuiparanganya,dawa yao ni ndogo,ni kuwapiga albadr,haiwezekani jitu lilale likiamka lije...
After 3 months of unprotected
sex your sweetheart finally
says,"Babe we need to
talk,I've been silent about this
issue because I was afraid of
losing you,babe,the truth is
I'm HIV positive'...
Duh leo hako ka operation kalikuwa mitaa ya huku kwetu...jamaa hawa ni Wataalamu waliobobea kuchana nyavu acha kabisa...na kwa wale walio oana na kuolewa,au wanaopenda kulala wawili wawili,kama...
shikamoo mama yangu Mamndenyi
nakupenda sana mama,lakini mama upamoja na kukuhudumia kila ukipendacho kwakua mwanao nimejaliwa mapesa na mwenyezi mungu,mali na kila kitu kwa leo najiskia nikupe...
1: Is it in?
2: Damn! Is dat all U can do?
3: Oh momma, momma!
4: Oh dadda, dadda!
5: U luk better in de dark
6: I tot dat goes in de other hole
7: Can U finish now? I av a
meeting
8: Is...
Ndugu zangu siku ya leo na usiku huu nimetumiwa SMS ya kuwa
``Leo usikusaa 6:30 na saa 9:300 Miale ya Cosmo itaingia duniani kutoka sayari ya mars. Hivyo zima simu yako usiku na iweke mbali nawe...
Habarini za cku wana jamvi natumai mu wazima wa afya awali ya yote nimshukuru mungu anayenipa pumzi ya kila cku bila ujira wwte nilipata matatizo ya kuibiwa kila ki2 vikiwemo laptop,mobile ...
Leo nimeamua kumsindikiza mjukuu wangu kwa binti yangu wa mwisho, kwenda kwenye ofisi moja ambapo alikuwa na shida. Tulipofika kwenye hiyo ofisi (ambayo nimewazoea sana kwa kuwa nafanya nao kazi...
Kutokana na mijadala mizito hatuna budi tukijiliwaza na tuneno kama hutu twa siasa.
UFISADI TRAINING COLLEGE
Inakutangazia kozi zifuatazo
1- Wizi wa kura
2- Utumiaji wa vyeti bandia
3- Ulipaji...
wapendw waungwana jana huko Tarime ccm wamepigana na kurushiana viti je takukuru hawapo huko?kwani chanzo cha vurugu hizo ni rushwa,kwanini wasiwakamate watoa rushwa?:A S 465:
Kumbe ajira zenu ni hizi?
Nyani Ngabu - mchimba makaburi wailesi
ruttashobolwa - hakimu mahakama ya mwanzo kiburugwa
Madam B- paparazi gazeti la kiu
Babu DC- mstaafu afrika mashariki
The Boss...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.