KML
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 861
- 134
Juzi Nilikua napita mitaa ya jet rumo nkawakuta watoto wanacheza mpira barabarani kama kawaida yangu nkasimama kuangalia vipaji vijavyo, gafla akapita jogoo anamkimbiza kuku basi yule jogoo akampata yule kuku akawa amempandia bas katoto kamoja kakatoka mbio kakaenda kakampiga teke yule jogoo uku anamwambia jogoo eti " mwache mwache bado anasoma uyo mwache bado mwanafunzi " eti yule jogoo anatembea na yule kuku wakat bado mwanafunzi
hahahaaaaaa... yakanishinda nkasepa
hahahaaaaaa... yakanishinda nkasepa