Ni kweli ...... jino linaniuma sana

pole sana,maumivu ya jino usipime, kuna siku niliumwa jino usiku sikulala basi alfajiri ya siku iliyofuata nilidamka nikawahi hospital moja hivi maeneo ya tandika sokoni, ipo maeneo ya jirani na benki ya crdb.
 
Pole DARLING! I can imagine how YOU feel. Ingawa humu kuna JF DOCTOR, wake up EARLY then go 2 hospital ya UKWELIi ukaling'oe. NO MATTER what kwani dawa ya JINO ni kupeana nalo TALAKA ya kudumu SWEETIE. Once again pole SANA, ila fuata USHAURI wangu.
 
pole sana mamito, duh hata mie nshawahi kuumwa jino. weee asikwambie mtu eti kuna dawa ya jino bila kuling'oa. hakuna. DAWA YA JINO NI KUNG'OA. Btw get well soon!!!!
 
Unaona sasa ex wangu,faida za kuniacha ndo hizo,ningesha ku rush india!
Jokes aside,pole mama,kama uko dar nenda mikocheni kuna two best clinics za meno,moja ni ile turkish hospital ukipita kwa nyerere karibu na junction ya resort nyingine iko Sanitas hospital,ni second floor Baraka plaza mbele kidogo ya kwa nyerere,ukifika uliza Dr James.
 
yawezekana Bishanga ndo dr.james mwenyewe mbona utapona
 
Unaona sasa ex wangu,faida za kuniacha ndo hizo,ningesha ku rush india!
Jokes aside,pole mama,kama uko dar nenda mikocheni kuna two best clinics za meno,moja ni ile turkish hospital ukipita kwa nyerere karibu na junction ya resort nyingine iko Sanitas hospital,ni second floor Baraka plaza mbele kidogo ya kwa nyerere,ukifika uliza Dr James.

mkuu ushang'oa mangapi, au wewe ndio Dk. James mwenyewe?
 
pole Mamndenyi, hiyo kitu fanya utaratibu wa kuing'oa ingawa sijawahi kuumwa jino ila I heard kuwa maumivu yake ni noma...
 
Last edited by a moderator:
sweet heart mie nimetoka kung'oa kama dkk 15 zilizopita linauma nimafanya root kanali imeshindikana sasa wamelitoa mida hii
Pole sana maumivu ya jino si ya kupima
 
Pole sana Mamdenyi maumivu ya jino ni balaa mimi nayatambua..dawa ni kuwahi kuling'oa tu.
 
Last edited by a moderator:
Pole Mamii, hoping unaendelea vyema sasa..

MamndenyiSpecial...gif
 
pole sana..... jino likikuuma hata kama hutaki kulia kama mtoto machozi yatakutoka tu..... nina experience, I dont want to be in your shoes right now.
Upone haraka
 
Unaona sasa ex wangu,faida za kuniacha ndo hizo,ningesha ku rush india!
Jokes aside,pole mama,kama uko dar nenda mikocheni kuna two best clinics za meno,moja ni ile turkish hospital ukipita kwa nyerere karibu na junction ya resort nyingine iko Sanitas hospital,ni second floor Baraka plaza mbele kidogo ya kwa nyerere,ukifika uliza Dr James.
vibogoyo utawajua tu. wanajua hospitali zote nzuri za meno, lol!
 
Asanteni sana. nimeenda regency wamelitoa. naendelea vizuri. Asanteni sana wote makomredi. marafiki. ma sons and daughters na wote wapenzi wangu hata watalaka wangu asanteni sana. I love you more.
 
Back
Top Bottom