Jamani wabongo wana under go evolution ama?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Mvua inanyesha ila watu wanatembea tu kwenye mvua na hakuna hata mmoja mwenye mwavuli. Nani anajua siri ya mafanikio haya?
Yani watu wenyewe hajaipendi kabisa!!!
 
Inategemea mvua imeanza kunyesha ukiwa maeneo yepi na upo kwenye situation gani! Btw, hayo ndo maisha halisi ya watanzania wengi ukiacha wachache wenye mwamko!
 
Inategemea mvua imeanza kunyesha ukiwa maeneo yepi na upo kwenye situation gani! Btw, hayo ndo maisha halisi ya watanzania wengi ukiacha wachache wenye mwamko!

Hivi kumbe watu wakiondoka kwenye shughuli zao hawaangaliagi weather conditions ya siku hiyo?
 
hiyo ndio tz......welcome to tanzania mbona iko kidogo washangaa ivo sana mweh!
 
Back
Top Bottom