nimewasiliana na mdada wangu wa moyoni gfsonwin, amelazwa na mtoto moi muhimbili! mtoto ameshaingia theatre na anafanyiwa upasuaji wa mguu! MUNGU NI MWEMA MY DEAR, TUNAMKABIDHI mtoto mikononi mwake, sisi TUNAOMBA yeye ATATENDA!
we are together sweetheart, take heart!
wapendwa thanks a million. mbarikiwwe sana kw asalamu zenu za upendo kwangu na kwa mwanangu. Namshukuru sana Mungu upasuaji umeenda salam a na mida hii ndo karudishwa wodini ila bado anausingizi. naamin kwa maombi na sala zenu atapona mapema tu.
kafanyiwa upasuaji wa mguu corrective osteomalities(femur). msichoke kuniombea wapendwa wangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.